Swali la weekend kwa wanafamilia...

Swali la weekend kwa wanafamilia...

Laki mbili, hela ya mwanamke sio ya familia, hiyo ya kusukia, na ya kufanyia mchezo
Inategemea na akili na tabia ya huyo mwanamke.

Pia mahusiano ya huyo Mwanamke na Mume wake
 
Mkishakuwa wanandoa basi maamuzi ya familia yanafanyika pamoja, kwahiyo kama kuna vikoba sijui michango ya sherehe mnashirikishana na kufanya kwa nafasi iliyopo.

Kuanza kutenga hiki cha huyu hiki cha yule ndipo migogoro huanzia hapo.
Kumbe huwa una akili basi tu saa nyingine unajitoa ufahamu.
 
Hapo kipato cha familia ni laki mbili, kwa mujibu wa maandiko ya dini mwanaume ndiye kichwa cha familia na ndiye aliyepewa jukumu(adhabu) ya kula kwa jasho lake, mwanamke alipewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu hivyo mke ana hiyari ya kuchangia au kutokuchangia kipato. Imagine uzae kwa uchungu halafu ule kwa jasho lako, utumikie adhabu yako na ya Mme, not fair
umemaliza kabisa tatizo vichwa vigumu, apo unakuta ameshakata ya mchepuko ndo anakwambia ana laki 2
 
Sipo nje ya mada ila kinachopelekea Kuwa laki 2 ni namna vichwa vya familia vinavyojigamba katika nyumba na kuona bi hana la kuchangia kwanini nisjishushe ''''''sihitaji mabavu miee!!! Akuuu
 
Kama hamna makato yale ya asilimia 40, basi pato la familia itakuwa ni laki mbili tu
 
Kwa watu waliofunga ndoa na wanaoelewa nini maana ya ndoa kutoka moyoni, kipato kitakuwa laki saba. Lakini kwa wanandoa wasiojua maana ya ndoa, waliooana kimazoea tu, waliokutana night club na kufunga ndoa, ama waliokutana kwenye dala dala na kufunga ndoa, ama waliokutana kwenye facebook au instagram; hapo kipato kitakuwa laki mbili.
 
Hata mkikutana kanisani laki mbili sababu hiyo pesa utakuwa unakumbushiwa hasa kama alifanya matumizi yanayokuhusu
 
Kwa watu waliofunga ndoa na wanaoelewa nini maana ya ndoa kutoka moyoni, kipato kitakuwa laki saba. Lakini kwa wanandoa wasiojua maana ya ndoa, waliooana kimazoea tu, waliokutana night club na kufunga ndoa, ama waliokutana kwenye dala dala na kufunga ndoa, ama waliokutana kwenye facebook au instagram; hapo kipato kitakuwa laki mbili.
Mahali pa kukutana wala sio issue,tatizo ni ulokutana nae.
 
huko kanisani ambapo sasa hivi mtu akiona mambo hayaeleweki ndo anaenda kuwinda!!! Usiombe kuwa wote mmekutana wawindaji hahaha, unahisi umepata kumbe umepatikana
 
wanaokwenda club ijumaa ndio hao hao wanaokwenda kanisani jumapili.

so pa kukutana sio ishu... bar tunaenda jioni na kanisani asubuhi.. ila watu ni wale wale

Kwa watu waliofunga ndoa na wanaoelewa nini maana ya ndoa kutoka moyoni, kipato kitakuwa laki saba. Lakini kwa wanandoa wasiojua maana ya ndoa, waliooana kimazoea tu, waliokutana night club na kufunga ndoa, ama waliokutana kwenye dala dala na kufunga ndoa, ama waliokutana kwenye facebook au instagram; hapo kipato kitakuwa laki mbili.
 
huko kanisani ambapo sasa hivi mtu akiona mambo hayaeleweki ndo anaenda kuwinda!!! Usiombe kuwa wote mmekutana wawindaji hahaha, unahisi umepata kumbe umepatikana
Si ndio hapo sasa,hiyo ni usiombe kukutwa na bwana pepsi.
 
Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?

Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
KIPATO CHA FAMILIA NI LAKI MBILI.
 
Back
Top Bottom