Swali la weekend kwa wanafamilia...

Swali la weekend kwa wanafamilia...

kipato ni laki mbili since baba ndyo kichwa cha familia, hyo laki 5 ni nyongeza/marupurupu just incase llaki mbili ikikaa vibaya.lol (jokin)
 
KIPATA CHA FAMILIA NI LAKI MBILI MAANA ATA IYO LAKI TANO HUWEZI KUIJUA MAANA KWA KUIFICHA HAWAJAMBO HAWA WANAWAKE ZETU
Kipatao kinaweza kuwa chini ya 200,000 ulizonazo maana mwanamke na zako anazitaka.
 
thubutuuu!!!! unajumlisha za nani na nani?
Then mkiji mnasema.mnataka mwanamke anayejali. Kiujumla tuna wake lakini walio wengi ni wabinafsi. Ni bora mwanaume uweke wazi sehemu ya kipato na nyingine haitakiwi kujulikana maana utaleta expectations za matumizi ya hela uliyonayo ma mara nyingi interest kunwa zikiwa ni za ke.
 
Kwanini wanawake harusi...na kitchen party wanazijali kuliko familia?
Sehemu kubwa ya vipato vya wanawake zinatumika kwenye mambo ya show off off asidharaulike kwe wenzie. Hiyo ndo weakness kubwa ya wanawake. Kama kipo ni kiasi kidogo kitachangia ustawi wa familia. Na wao ndo walamamishi wakubwa wa hiki na hiki hakipo.
 
Kama hujaoa,hongera sana. Wanawake hawafai yaani pesa zao hazionekani kabisa.
Pamoja na pesa yao kutoonekana unakuta kaleta ndugu zake kibao kwako na anatala uwasaidie. Wao huamini za mwanaume ndo pesa a zao ni karatasi.
 
Naomba majibu yenu wandugu maana nimeitoa sehemu na majibu ya swali yalikuwa magumu sana hivyo mlioweza kuoa au kuolewa mnijibu
 
inategemeana na mfumo wao wa ndoa.
kwani kuna ndoa zingine zinaona hela ya baba ndio ya familia na ya mke ni ya mke.
lakini zingine kama yangu ni kwamba hela ya mke ni yetu na hela ya mme ni yetu .hivyo tunaziweka pamoja na kufanyia jambo la kimaendeleo kama tunavyopanga pamoja.
ni mtazamo wa familia yetu maana kila mtu ana ndoa yake.
hivyo inaweza kuwa laki mbili au milioni tano na laki mbili kulingana na mfumo tajwa hapo juu
 
Msisahau pia kuwa ndani ya familia za kitanzania, kuna wanawake wao ndio wanaoleta ugali mezani na baba kazi yake ni mauno tu na kumzaba vibao pindi anapochelewa kurudi nyumbani kwamba ametoka wapi ilhali huyo mama alikuwa kwenye kikao cha kikazi.Ila kwa tukirudi katika "picha kubwa", familia itakuwa ina laki mbili hapo.
 
Familia ina milion 4 na laki 2, milioni 1 inayobaki nitafanyia vitu vyangu vidogo vidogo....kuitoa yote milion 5 ni ngumu kwangu nisiongope.
 
Back
Top Bottom