Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,488
- 176,550
Nyie si ndio vichwa jamani, so you shud take all the blame.So kila kitu lawama ni kwa wanaume tu?
Nyie si ndio vichwa jamani, so you shud take all the blame.So kila kitu lawama ni kwa wanaume tu?
Tulikuwa vichwa zamani
siku hizi mnaita haki sawa kwa wote...
mishahara mnayo,magari mnanunua,nyumba mnajenga..
'hambabaishwi' mmnaongozwa pale mnapojisikia....
Wacha we!! Tunadai haki sawa sio wajibu sawa.
Ndo sipati hata jibu yani naishia kujiulizaga tunimeshindwa kuelewa ni compliment au dongo...
unahisi nina low iq au high? au labda umri wangu miaka mingapi?
be free..
Ila Ya Mumeo Yote Aitoe Utumie?Familia ina milion 4 na laki 2, milioni 1 inayobaki nitafanyia vitu vyangu vidogo vidogo....kuitoa yote milion 5 ni ngumu kwangu nisiongope.
Kweli Kabisaa MkuuHakuna familia hapo.
Vipi Wewe Kwa Mumeo Unachangia Pato?mkuu zipo hizo familia haswa kina mama wamechangia sana kwenye mapato
Kwann Kuwe Na Laki 2?Familia ina laki 2
DuuhWalikuwa na laki 2 kwa sasa hivi zimeisha hawana tena Hela,
Je Na Ile Ya Mwanamke Haihusiki Kwenye Familia?Familia ina laki 2
hawa hawa wanawake wa siku hizi?Je Na Ile Ya Mwanamke Haihusiki Kwenye Familia?