MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,220
- 3,917
Mimi ni mke mzoefu, nakuambia hali halisi. Na hili hutalithibitisha mpaka uoe!Unaonekana Huna Chembe Zakuwa Mke Ila Unataka Tu Uwe Mke Ilimradi Tu
Mimi ni mke mzoefu, nakuambia hali halisi. Na hili hutalithibitisha mpaka uoe!Unaonekana Huna Chembe Zakuwa Mke Ila Unataka Tu Uwe Mke Ilimradi Tu
NdioUnajua Maana Yakutunzwa?
Hamna familia hapo. Hyo ndoa itavunjika kabla ya kuhesabu hizo laki 2 za familia

Hakuna kituinategemeana na mfumo wao wa ndoa.
kwani kuna ndoa zingine zinaona hela ya baba ndio ya familia na ya mke ni ya mke.
lakini zingine kama yangu ni kwamba hela ya mke ni yetu na hela ya mme ni yetu .hivyo tunaziweka pamoja na kufanyia jambo la kimaendeleo kama tunavyopanga pamoja.
ni mtazamo wa familia yetu maana kila mtu ana ndoa yake.
hivyo inaweza kuwa laki mbili au milioni tano na laki mbili kulingana na mfumo tajwa hapo juu
Kwhyo Mumeo Akikwama Nawewe Pesa Unayo It Means Huwezi Kumsaidia?Mimi ni mke mzoefu, nakuambia hali halisi. Na hili hutalithibitisha mpaka uoe!
Nimecheka mpaka nimetokwa na machozi...Hakuna kitu
Umeuliza familia itakuwa na shs ngapi, jibu ni 200,000 kama ulivyoambiwa na wengi. Kusaidia ni jambo jingine.Kwhyo Mumeo Akikwama Nawewe Pesa Unayo It Means Huwezi Kumsaidia?
Hii ni familia ya kizungu!!Kwangu mimi familia ina Milioni 5 na laki 2
Ni wewe tu ndio unaweza kuvunja ndoa kwasababu mkeo kakunyima hela, wenzio wanajua na wanaona ndio uanaume!he he he ndio maana ndoa ngumu sana nowdays. hadi ifungwe sio shughuli ndogo waoaji wameshtuka....
na hata ikifungwa muoaji akiona anatumika tu anaivunjilia mbali
Familia ina laki mbili.Naomba majibu yenu wandugu maana nimeitoa sehemu na majibu ya swali yalikuwa magumu sana hivyo mlioweza kuoa au kuolewa mnijibu
Familia ya Kibongo.familia gani
Ni wewe tu ndio unaweza kuvunja ndoa kwasababu mkeo kakunyima hela, wenzio wanajua na wanaona ndio uanaume!