APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,782
- 11,020
Tuhakikishie mkuu....Zaidi ya 95% ya ndoa wanaosumbua ni wanaume.
Tuhakikishie mkuu....Zaidi ya 95% ya ndoa wanaosumbua ni wanaume.
Uhakika upi mkuu unautaka?Tuhakikishie mkuu....
kama wanaume ndo tunakuwa chanzo cha mifarakano kwenye mahusiano....Uhakika upi mkuu unautaka?
Hata hapa ushadhihirisha tayari.kama wanaume ndo tunakuwa chanzo cha mifarakano kwenye mahusiano....
Hili swala linahitaji utafiti zaidi, mimi naamini matatizo au mafanikio ya ndoa yanachangiwa kiasi sawa sawa kutoka kwa pande zote.Zaidi ya 95% ya ndoa wanaosumbua ni wanaume.
Estimations nyingi kama zipi kwa mfano?Hili swala linahitaji utafiti zaidi, mimi naamini matatizo au mafanikio ya ndoa yanachangiwa kiasi sawa sawa kutoka kwa pande zote.
Hivi kwanini estimations nyingi ni 90%, 95% na 99%?
SI kama ya kwako uliyoitoa.Estimations nyingi kama zipi kwa mfano?
Mkuu ukipata nafasi pitia wizara ya mambo ya wanawake na jinsia wanazo datakama wanaume ndo tunakuwa chanzo cha mifarakano kwenye mahusiano....
yap mkuu hata mimi hilo hilo swali nimemuuliza mchumba wangu but through the fone kanambia ni laki saba
Hii ni generation nyingine mkuu, lakini na nyinyi mkiona wazuri wamependeza barabarani shingo feni wakati mkeo yuko pembeni, hamuoni kuwa mnayasababisha haya?Nimepitia majibu ya huu uzi. Hawa ndio wake zetu sasa hivi, mama wa watoto wetu. Ana 700k mumewe ana 200k yuko radhi watoto wake waishi level ya 200k na 700k akafanye mambo yake.
Mama yangu mimi angetoa 700k yote kwa ajili ya familia.
Sasa wewe kuminya mshahara wako wote na mimi kuangalia neema za Allah kunahusiana nini?Hii ni generation nyingine mkuu, lakini na nyinyi mkiona wazuri wamependeza barabarani shingo feni wakati mkeo yuko pembeni, hamuoni kuwa mnayasababisha haya?
kipato cha familia hapo ni laki mbili tu na budget yake ya kusuka ipo humo humo kwenye hio laki mbiliWewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Wana forum kwa mtazamo wa wanawake wacha Mungu kipato cha familia ni 700000
Ikiwa ukimpata mkeo kwa akilizo mwenyewe basi swali hili litaleta mjadala ila ikiwa ni the COMPATIBLE that was sent to you from heaven its the same
Jumla ni laki mbili kwenye matumizi ya familia, mwanamke hata kama Ana million wewe Una 50,000/= ni lazima utoe hela ya matumizi kwaajili ya familiaWewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...