Swali la weekend kwa wanafamilia...

Swali la weekend kwa wanafamilia...

Vitu gani vidogovidogo vya peke yako ambavyo havihusu familia nzima?
Kwa hiyo nikitaka niende vicoba, sherehe, labda nna vipodozi vimeniishia, nahitaji kutengeneza nywele na vingine natakiwa niombe hela? yaani hiyo milion 4 niliyotoa utakua ujaridhika nayo? Kingine ambacho unaeza usijue wanawake lazima tubakishe hela ya emergency likitokea tatizo lolote lile, so hiyo milion 1 usistuke kuona sijaitoa inaeza kuja kusave baadae
 
Naomba majibu yenu wandugu maana nimeitoa sehemu na majibu ya swali yalikuwa magumu sana hivyo mlioweza kuoa au kuolewa mnijibu

itakuwa na laki 2. unaweza kukuta hizo mil 5 za mke ni saccos au Vikoba. Hata hivyo mara nyingi wanawake wanaamini pesa yao ni yao na ya Baba ni ya Familia.
 
Tusizunguke,baba ndo mtunzaji wa familia mama aamue tu,hawawezi kulingana hata siku moja make kila mtu ana kazi yake mmoja KUZAA KWA UCHUNGU na mwingine KULA KWA JASHO!!
Hapo wana laki 2 tu bila kumkosea Mungu!!
 
Kwa familia zilizo nyingi hapo familia INA laki mbili! Ila unafuu ni kwamba familia haitakuwa stress ya pesa za saluni, ya michango ya kitchen party, viwalo vya kinamama na pia familia inaweza kukopa kwa "jirani wa chumbani" badala ya kuandikwa jina kwenye daftari LA Mangi!
Nimeona maisha yako hivyo kwa jamaa zangu wengi, na wamekubali matokeo kuwa ukitaka amani nyumbani inabidi ukubali chako ni chetu na chake ni chake!
Japo Mimi binafsi nyumbani kwangu hapo tuna 5,200,000/=.
Wanaume wengi wameshindwa kuthibitisha uaminifu wao kwa wake zao! Mke akikuhisi kuna mwingine anafaidi pembeni kwa pesa aliyokufadhili, huo ndio mwisho wa taarifa ya habari!
 
Back
Top Bottom