Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Famalia ina laki 2
Yani cha zaidi baada ya ile laki mbili kuisha,familia itakopa laki tano,mama ndio atafanikisha kupatikana kwa hiyo hela kwa riba.(In realsense anatoa mfukoni mwake).Je Na Ile Ya Mwanamke Haihusiki Kwenye Familia?
Laki mbili
Avunje tu akivunja mwengine atajenga upyaahe he he ndio maana ndoa ngumu sana nowdays. hadi ifungwe sio shughuli ndogo waoaji wameshtuka....
na hata ikifungwa muoaji akiona anatumika tu anaivunjilia mbali
Vipi Wewe Kwa Mumeo Unachangia Pato?
Vzr Kwa Hilosana mkuu kwa hilo sina shaka nao wanajua
Kama Ni Hvyo Hakuna Haja Yakuwa Na Mke Kama Mbinafsi2OO000/=
Kama Ni Hvyo Sitaki Mwanamke Mwenyekazi Yake Maana Atakuwa Mbinafsihawa hawa wanawake wa siku hizi?
Good Kwa Maelezo Bora Dada Ndio Maana Wanawake Mmetofautiana Kwenye UpendoYani cha zaidi baada ya ile laki mbili kuisha,familia itakopa laki tano,mama ndio atafanikisha kupatikana kwa hiyo hela kwa riba.(In realsense anatoa mfukoni mwake).
Ya mwanamke inapaswa kuwa ya familia,ila mfumo umemwonea mwanamme.
Eti anashindwa hesabu rahisi namna hii...familia ina laki mbili kibindoni
Unaoa ili utunzwe na mkeoKama Ni Hvyo Hakuna Haja Yakuwa Na Mke Kama Mbinafsi
Hata mwanamke hataki mume atakayetaka familia iwe na 5,200,000.00Kama Ni Hvyo Sitaki Mwanamke Mwenyekazi Yake Maana Atakuwa Mbinafsi
Hapo kuna laki mbiliNaomba majibu yenu wandugu maana nimeitoa sehemu na majibu ya swali yalikuwa magumu sana hivyo mlioweza kuoa au kuolewa mnijibu
Unajua Maana Yakutunzwa?Unaoa ili utunzwe na mkeo
Unaonekana Huna Chembe Zakuwa Mke Ila Unataka Tu Uwe Mke Ilimradi TuHata mwanamke hataki mume atakayetaka familia iwe na 5,200,000.00
Hapo bwana tambua kua mna laki mbili tu maana pesa aliyonayo mkeo kuipata ni majaliwaNaomba majibu yenu wandugu maana nimeitoa sehemu na majibu ya swali yalikuwa magumu sana hivyo mlioweza kuoa au kuolewa mnijibu