Mipango gani?Laki mbili hapo bila kudanganya. Ila zetu zinakuwaga na mipango mingi saana..
Kwenda kununua vipodozi ndo unaita mipango??
Nimepitia majibu ya huu uzi. Hawa ndio wake zetu sasa hivi, mama wa watoto wetu. Ana 700k mumewe ana 200k yuko radhi watoto wake waishi level ya 200k na 700k akafanye mambo yake.
Mama yangu mimi angetoa 700k yote kwa ajili ya familia.
We are in trouble.Mama zetu hawakuharibiwa na shule hizi za Instagram na watsaap groups
Na bado hapo sasa ukute umeoa msomi,na budget ya kukufunga ukimzingua anaitoa hapohapo kwenye laki tano yake!Nimepitia majibu ya huu uzi. Hawa ndio wake zetu sasa hivi, mama wa watoto wetu. Ana 700k mumewe ana 200k yuko radhi watoto wake waishi level ya 200k na 700k akafanye mambo yake.
Mama yangu mimi angetoa 700k yote kwa ajili ya familia.

Hao ndio wanaume wa jf, wake zao hawana jema kabisaa.Nimepitia huu uzi nimeaikitika sana,sijajua kama hizi coments za wanaume ni za kweli au wanaongea tu kwa sababu kuna jinsi wanavyotuchukulia, mwanaume anaweza kutelekeza familia lakibi sio mwanamke, hata atelekezwa na watoto kumi there is no way atakuabali kuwaacha watoto wafe njaa,she will fight hata kwa kuuza vitumbua watoto wale,na wanawake wengi zama hizi wanabeba familia zao na pia maisha yamebadilika,majukumu ya familia yanachangiwa na wote baba na mama,wakati mwingine hata hujui pesa ya mume imepitia wapi ila maisha yanasonga na hakuna kinachopungua kwenye familia,nadhani hii inatokana na misingi ya familia yenu mliyoijenga tangu mlipoingia kwenye ndoa,ila kamamwanaume ulimzoeza mke kuwa tegemezi kwa kial kitu usitegemee kwamba leo unaweza kumshawishi achangie kipato cha familia maana sio misingi uliyomjengea
Kwa hiyo wanaume mtuache jamani,ur coments are too negative compared to reality
Na kwakweli hapo ndipo taabu inapoanziaga, kwakweli michepiko ikianza lazima mahesabu yabadilike, tena ni kuyabana hadi akili ikae sawa.jamani mi ni mwanamke na nimeolewa, sio wanawake wote wanatabia hiyo kwenye familia yangu hiyo ni laki 7. kama mume wangu anapesa ya ziada namuomba anipe nikasuke n. k ninapenda kila kipato ninachopata nishirikiane na mume wangu kukifanyia maamuzi. Ila siku nikijua mume anamchepuko hahahhaaaaa zoezi litaishia hapo, badala ya laki 7 itakuwa 2.
Nakuhakikishia hapo kipato ni laki mbili, yaani wanawake wanajijua wenyewe na Mungu wao, hela zao ni zao na zako ni za familia, ndiyo maana ukujenga nyumba halafua ukaoa, atafika anasema ni nyumba yake. Mkiwa na mtoto, ukimgusa utaskia usiniulie mtoto na blah blah kibao.Wewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Nakuhakikishia hapo kipato ni laki mbili, yaani wanawake wanajijua wenyewe na Mungu wao, hela zao ni zao na zako ni za familia, ndiyo maana ukujenga nyumba halafua ukaoa, atafika anasema ni nyumba yake. Mkiwa na mtoto, ukimgusa utaskia usiniulie mtoto na blah blah kibao.
Tofautisha SURVEY na NYUMBANI.Kipato cha familia ni laki saba.Hayo ya pesa ya nani inafanya kitu gani inategemea familia na familia.Hili swali huwa tunaliuliza tunapofanya "HOUSEHOLD BUDGET SURVEY" na kwa case hii pato la familia ni 700k.
Hawa viumbe ni hatari, Mama yangu angekuwa wa kiume ningetamka neno zito, ila sasa ngoja niwastahi kwa hisani yake.Haha na ukimpa talaka nyumba mnauza mgawane pesa
Hizi ni zaidi ya familia.......Kwanini laki tano za mama sio za familia?
Hivi unikopeshe kabisa halafu uje kunidai????Na hata ukimkopesha mwanamke ujue huruhusii kudai