kipato cha familia ni laki mbili maana mwanamke akiwa na pesa anaita zake na zakwako anaita zenu hivyo mtakua na shilingi laki mbili tuWewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Hivi kwanini matumizi ya mwanamke hayahesabiwi kama matumizi ya familia? Akienda kusuka mbinafsi, Akienda shopping ya viatu vya kazini mbinafsi.. kwani matumizi ya familia ni yapi? Mwanaume akihonga aah halali.. Akienda kujiburudisha bar halali. Ila mwanamke akifanya hivyo mbinafsi.. kwanini?Kwa uzoefu wangu hapo ni laki mbili maana wakina mama kuchangia matumiz ya familia wanaona sio lazima,ikitokea kachangia chochote anakua kama kakopwa.Ni wanawake wachache sana wanaoweza kua na nafsi yakuchangia maendeleo ya familia bila kua na roho yaubinfsi.Hiyo ni sawa nakukuta mwanamke mwenye kipato kikubwa au msomi zaid ya mumewe na akawa hana maneno maneno kwa mumewe.Wengi wao ikiwa ivyo lazima uisome namba kwa herufi kubwa.
Kama familia mtakuwa na laki 7 au laki 2 kwa kutegemea umoja wenu kati ya mke na mume ni wa aina gani. Kama umeoa mwanamke ambaye wewe na yeye ni wamoja, basi mtakuwa na laki 7. Kama umeoa mwanamke ambaye ni mbinafsi basi kipato chenu ni kile cha mwanaume.Wewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Sasa iyo ni according to you coz kuna wanawake wanakaa na waume zao wanaowazd mishahara na wanashirikiana equally katika masuala ya maendeleo ya familia eg ujenz, kusomesha watoto etc na bado wanawaheshim waume zao. Ila kwa nyie mabint wa dot com mna shida na wengi hamdum na wanaume coz mnajal sna maslah (unamheshim mtu coz anakuzd pesa). Kwa sie wakristu hta biblia imesema wanandoa ni kitu kimoja.thubutuuu!!!! unajumlisha za nani na nani?
KIPATA CHA FAMILIA NI LAKI MBILI MAANA ATA IYO LAKI TANO HUWEZI KUIJUA MAANA KWA KUIFICHA HAWAJAMBO HAWA WANAWAKE ZETU
Unamjulisha na ya naniii??
Atakuwa mhaya huyo.By the way umenikumbusha Prof wangu mmoja!
YEYE HUWA ANASEMA KITANDANDA CHAKE KINALALIWA NA DEGREE SABA
4 zake
3 za mkewe!
Unamjulisha na ya naniii??
Zaidi ya 95% ya ndoa wanaosumbua ni wanaume.Mimi ni observer wa yanayotokea, nawaona jinsi watu wanavyohangaika na misalaba yao wanayoita pingu za maisha.....ndoa zenye furaha ni chache mno,....nyingi ni matatizo matupu.
Si kwenye mgawanyo wa vipato wala uaminifu, kila part ya ndoa ni vurugu tupu.....Kwangu sidhani kama ndoa ni sehemu salama.