Swali la weekend kwa wanafamilia...

Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?

Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...

Kiislam hakuna kipato cha familia, mume ana mali zake na mke ana mali zake.
 
Familia ina Laki 2. Sitaki matatizo wala utegemezi. Mimi mwanaume, siwezi kupigia bajeti eti kuna siku nitaokota hela
 
Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?

Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Kipato ni sh laki mbili wanawake sisi chako ni changu,changu ni changu..
 
Hiyo ni special & abnormal case.

Kwenye familia mwanaume ni family protector & provider na mwanamke ni nest defender......sasa kama kuna mwanaume anahongwa na mwanamke hiyo ni kinyume na nature.
Samahani kwa kutoka nje ya mada,charmilton huwa unapinga sana uwepo wa Mungu hiyo#nature#vipi
 
Yani majibu haya yanareflect jinsi familia nyingi zilivyo na matatizo.kwani viumbe hawa si wanataka 50/50
 
Acheni mchezo na pesa ndugu zang naona kama mnanitia hasira tu,yaani laki 5 ya mkorogo?kwani familia inajengwa nani? kwann ndoa zikivunjika wanawake hutaka mgao wa mali 50/50?
 
Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?

Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...

It depends kulingana na Dini labda nijue hapo kwanza hapo
 
Back
Top Bottom