Swali la weekend kwa wanafamilia...

Swali la weekend kwa wanafamilia...

Katika general sense hapo familia ina laki2, ila ingekuwa ni familia yangu basi tuna laki7.

Maana kipatikanacho ni chetu,we become one.

Heaven Sent ukome kuhack id yangu.
Sentesi yako ya mwisho siiamini aisee! Hivi kweli anaweza kufanya hivyo ulivyosema?
 
Kama mwanamke ana akili ya maisha ni laki saba, Ila kama ana akili za kimbeya kimipasho kibinafsi, kujionesha kwa watu ujeuiri na mashindano yasiyokuwa na tija, kipato cha familia hapo ni laki mbili
 
No standard answer, inategemea na mwanamke, kwenye familia yangu HAPO kipato ni laki 7
yap mkuu hata mimi hilo hilo swali nimemuuliza mchumba wangu but through the fone kanambia ni laki saba
 
Mbona familia nyingi zinaendeshwa na wanawake! So inategemea.. Kuna wababa hawajali familia mama ndio kila kitu
 
Laki mbili. Kiutamaduni Mwanaume wa kweli hahesabii kipato cha mkewe kama kipato cha familia
 
Kwa kuwa mimi ndio baba wa familia kutjnza familia jukumu langu kilato cha familia ni Tshs 200, 000/=
 
Mimi naona ni laki mbili tu. Kwa sababu pesa ya mwanamke kuipata 'n shida Sana na ukiitumia masimango yake utajuta siku mkikosana.
 
Back
Top Bottom