Sio wadada tu, hata nyie vidume. Me inategemea na aina y mwanaume nilie nae kama anaeleweka naweza toa nusu ila sio yoteHahaaa wasome wadada vizuri
hapo ndo utajua jibu....
Ndio maana nilisema mwanzo kwamba inategemea na mwanamke pamoja na misingi ya familiaambayo mwanaume amemjengea tangu mwanzoMbona hujasema lolote kuhusu comments za wanawake waliosema pesa ya familia ni ya mume tu
yao ni ya binafsi
Kabisaa,nitoe tu kamfano kadogo kwa ofisi ninayofanya kazi NGO wadada karibu wote ndo wanaobeba familia kwa kiasi kikubwa,tena wengine wanalalamia hela ya mume ni ya baa tu kuhusu nyumbani ni kazi ya mamaHao ndio wanaume wa jf, wake zao hawana jema kabisaa.
Wengine ukute wanalelewa kabisa na wake zao ila wakiingia humu kazi ni moja tu kuponda wanawake.
Tunayoyashuhudia huku mtaani ni tofauti kabisaa na wanavyokazana kuamiisha watu humu, familia nyingi zimebebwa na wanawake.
Tutafanyaje sasa na ndio wanaume zetu hawa, wanatuhesabia mabaya tu hatuna mema.Kabisaa,nitoe tu kamfano kadogo kwa ofisi ninayofanya kazi NGO wadada karibu wote ndo wanaobeba familia kwa kiasi kikubwa,tena wengine wanalalamia hela ya mume ni ya baa tu kuhusu nyumbani ni kazi ya mama
Halafu leo wanakaa hapa kunyanyua midomo kuwasema wake zao, au pengine wake zao ni waleee vigodoro type
Ndo maana wengine wake zao wanaficha pesa zao wala hawamshirikishi mwanaume,naona kwenye hii thread wametukalia kooni kweliTutafanyaje sasa na ndio wanaume zetu hawa, wanatuhesabia mabaya tu hatuna mema.
Hapo kipato cha familia ni laki mbili tu.. 200000/=Wewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Kila familia ina principles zake kwenye mambo ya fedha.
Kama inatumika principle ya chake (mwanamke) ni chake. Chako ni chenu. Hapo familia ina laki mbili.
Kama inatumika principle ya chake ni chenu na chako ni chenu, hapo familia ina laki saba.
Umesema vizuri, kila familia ina principles zake. Kuna wa 50/50, lakini pia wapo wa mume chake na mke chake, kuna wa kipato chote ni cha familia.Kila familia ina principles zake kwenye mambo ya fedha.
Kama inatumika principle ya chake (mwanamke) ni chake. Chako ni chenu. Hapo familia ina laki mbili.
Kama inatumika principle ya chake ni chenu na chako ni chenu, hapo familia ina laki saba.
Duh nimejifunza kitu hapa ngoja kumbe nijiandae kisaikolojithubutuuu!!!! unajumlisha za nani na nani?
