Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
kipato cha familia hapo inategemea na tabia za wote wawili katika matumiz ya pesa bana kama baba mjinga mjinga kipato ni laki mbili kama kichwani zimo kwanini isiwe laki 6 bwaana hiyo nyingine kwa kweli ya mikoba, madela na salunii nsije kupauka nkakimbiwa miyeee😛
