Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
878
Reaction score
3,920
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?

Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada ya mgombea wa CCM kutoa tamko kwamba majeshi yako imara?

Jeshi lolote halipaswi kuingilia siasa, bali majeshi yanapaswa kuacha mambo ya kiraia yaendeshwe kiraia, kisha nyie majeshi mtoe ulinzi kwa kila upande.

Kiufupi aliyoyaongea Kapt. Tesha yako relevant openly kuliko tamko la kusema majeshi hayajashiriki siasa wakati tunajionea kila siku mnafanya magwaride mitaani.
 
Tesha alikuambia jana jinsi gani deep state inafanya kazi moja wapo ndio hiyo kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao pasipo wakuu wa hivyi vyombo kujua vinatumika kwa maslahi ya kakikundi furani siyo taifa kama taifa
 
Jeshi la Wananchi lilikuwa wakati wa Nyerere.
Sasa hivi tuna Jeshi la wanaccm.

Tunamshukuru sana Mungu kwa ulinzi wa asili tulio nao....ikitokea kama enzi zile za Idi Amin, siku mbili tu wavamizi wako Magogoni.
 
Ni matumaini yetu sio wote, wengine watatafuta namna ya kujisafisha.
 
Back
Top Bottom