Surpriiiiiiise. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,484
Would you be HAPPY, PISSED OFF or FREAKED OUT if your man or your lady was to give you a surprise visit?

Yani mko kwenye simu anakwambia anavyokumiss ila tu umbali/shughuli ndio zinamzuia kuwa na wewe kwa wakati ule iwe ni jioni umemwambia uko nyumbani, mchana umemwambia unapata lunch kwenye kagenge/restaurant mnayopendaga kwenda pamoja au muda wa kutoka kazini ndio unakusanya makorokoro yako uelekee nyumbani. Ghafla mtu anagonga unaenda kufungua unamkuta, restaurant mtu anakushika bega au ofisini unasikia mtu kafunga/fungua mlango ukigeuka nyuma unakuta ni yeye. Reaction yako ya kikweli kweli itakuwaje?
 
natamani pasiwepo watu as watanichukulia nina wazimu
 
nitagomba..sitaki suprise za aina hiyo..kama ana nyingine apotezee,vipi akinikuta na nyumba ndogo? Inabidi kuheshimu ratiba.
 
My baby is waiting outside byeeeeee
 
Hahaha! Ukiona mtu hapendi surprise ujue kuna kinachofichwa. Well, I will keep surprising him hata kama hataki coz I'm never afraid to face the demons! And I lov surprises!
 
nitagomba..sitaki suprise za aina hiyo..kama ana nyingine apotezee,vipi akinikuta na nyumba ndogo? Inabidi kuheshimu ratiba.

Hahahaha. . kwahiyo utaanza kumgombeza right away au akishatulia?
Naanza ku delete msg kwenye simu fasta LOL:lol:
Hahahaha utafutaje wakati mwenzio macho hatoi kwako?
 
I love surprises...

Huogopi wenye?
Hahaha! Ukiona mtu hapendi surprise ujue kuna kinachofichwa. Well, I will keep surprising him hata kama hataki coz I'm never afraid to face the demons! And I lov surprises!

Yeahh ni namna nzuri ya kumkamata mwenzio kama ana lake jambo. Ila za kuviziana sio nzuri aisee.
 
Pole sana , ukweli ndio huo sometimes ukimjua mpenzi wako yupo vipi bora usiwe unamstukiza kama unampenda.

hahaha Maundumula mie niliamini siku zote ni mtu mmoja mtaratibu na mwenye heshima kubwa ..
Lakini wakati mwingine naona kama mungu huwa anakufunulia bwana
 
nadhani nitalia kwanza maana nitafurahi vibaya mno
 
suprise ni ngumu kuisahau maishani! kama unataka mtu akikumbuke hicho umemuandalia fanya bonge la surprise kwake! gharama ni kitu kingine na surprise ni issue nyingine!
 
Ninapenda kufanyiwa surprise kwa sababu sina cha kuficha, lakini sipendi kumfanyia mtu kwa sababu ya kuheshimu "privacy" yake, na kuogopa kuwa surprised kwa surprise yangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…