excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
alaaaa kumbeeh!!!!
excl kakumiss kweli jamani!! mahondaw beibiii!! lolz!!
goodmorning mamii!!
alaaaa kumbeeh!!!!
excl kakumiss kweli jamani!! mahondaw beibiii!! lolz!!
goodmorning mamii!!
Hahahaaa.... Naweza hama jukwaa aiseee!!!
Zidumu Avatar....
morning excel jmn come close pls eenhee waaaooohh!!
leo nimedukua mengi mamaaa!! kumbe avatar yako ni yule nanii wa sauz? lolz!
Weka sura nzima tutor tathmini zetu, nimepewa jukumu hili Na ndugu ysngu Excel coz i have a 'good taste'..lol
Mura umweito, unachua watu wa kure kwetu machocho tulifo na sura ngumu aiseee... Avataa sinaficha mengi lolest!!
Yeke waraye????
excl kakumiss kweli jamani!! mahondaw beibiii!! lolz!!
goodmorning mamii!!
who told you am cute ..... any as u predict ... even Eli79 your handsome boyhahaha...
mkuu, hivi ulifikia wapi? Mbona uko kimya, miss chagga nae kimya..au ndo mambo yanaenda kimya kimya?
tupeni mrejesho japo mie Na Tyta tujue mlipofikia...
anyways, miss chagga is a cute girl.... Na usimuache mdogo wangu.
ha ha ha ha ha mbona kunipayisha hivi lakini ni nini? any way mimi ni mbaya ujueingekuwa hivyo nadhani midume yote humu ingemfakamia my miss chagga..
huwa namchukulia kama the most cutiest girl in this forum.
mrefu,
anajua kuongea,
kaumbika,
ana rangi nzuri,
anafanya kazi kwa bidii,
ana care sana.
sitamani hiyo siku kabisaa ya avatar zetu kuwa exposed,
coz naamini wanawake wengine kama huyu wangu,
msururu wa wanaume ungefika donyo.
CC: Eli79 & Tyta.
Hahahaa haaaa
Tathmini ipi jamani.
Mbona huwa naweka sn tu.
We uwe unachek nikibadirisha
Naomba itokee tu wala sina cha kuogopa