Wakuu nilikua nimekaa nikawaza tu aisee, ingawa jambo nililoliwaza halitaweza kutokea kamwe, What if Siku Avatar zetu zikigoma kuonekakana na kuanza kuonyesha sura halisi ya mhusika!! basi nikahisi kua watu wengi wataikimbia na kuiogopa MMU kama ukoma, haswa mabinti!! Big up to your avatar, imekuhifadhi MMU.
Nimewasilisha tu.
Sasa c bora avatar mi niliwaza pm 2one mitongozo ya watu! Ha ha ha! Ntamuona Excel anavyompa maneno ya mahaba beby ake miss neddy !!
Hahahaaa.... Naweza hama jukwaa aiseee!!!
Zidumu Avatar....
Do you mean pirates of Caribbean.? Ha ha ha ha:biggrin1:Clothes Make the Pirate
Manini hayo??
kaujumbe ka uzi kanakotachi watu flani flani iv humu MMU! teh teh jf burudaaaanii!!