Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Hata mimi nimewahi ibusu walahi..
Nzuri sana nitumie kwa PM basiii
Google mwanamke mzuri duniani utaipata hiyo picha ya huyu mwarabu
Hata mimi nimewahi ibusu walahi..
Nzuri sana nitumie kwa PM basiii
Duh kweli we mkali....utaki msongamano wa vi PM
Google mwanamke mzuri duniani utaipata hiyo picha ya huyu mwarabu
Ha ha ha
Ile ya kichungi ilikua balaa..
Huwezi amini huwa nafikiri ni wewe kabisaa
Utakomaa unaemfikiri kwenye avatar yupo zake arabun toto la kifalmee
Ha ha haaa
Vipi avatar yanguuu?
Aaaaah si pacha wake