Support itolewayo na Avatar

Support itolewayo na Avatar

Avatar yako kama mdoli wa maduka ya kihindi...

Aisee naenda kujinyongaa!!!!halaf rambi rambi zangu msikabizi chriss lukos wen utaniwekea ndani ya jeneza langu ili nikatanue na washikaji zangu ntakaowakutaa huko
 
Aisee ngoja nivae nguo kbs maana picha yangu ikitokea hivi sitopata like hata 1
 
Mkuu avatar yake ni hatari imekufanya umejua sifa zote alizonazo eeeeeeeehhhhh duh

umekariri kijana,
si kila mtu hapa kwa sababu we humjui kila mtu atakuwa hamjui,..
afu kukariri kulivyokubaya sasa.
avatar ya mpenzi wangu umeiangalia vizuri lakini.?
 
Kweli sisi wengine avator zinatusitiri. Mbona lisitokee jamani hili la kuonyesha photo zetu halisi lol.
 
umekariri kijana,
si kila mtu hapa kwa sababu we humjui kila mtu atakuwa hamjui,..
afu kukariri kulivyokubaya sasa.
avatar ya mpenzi wangu umeiangalia vizuri lakini.?

JOKES hizo, hivi mkuu vyote vilivyoongewa kwenye huu uzi unazani halisi.
 
hahahaaaa

ila umetuonea kwa kusema wadada zaidi. kwani humu hakuna Me wenye makidai, na ma avatar ya kututega .. wengine ma six pack, wengine vitambi, wengine naniliu na kadhalika.


credit izifikie avatar kwa kweli maana ingekuwa majangaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom