Support itolewayo na Avatar

Support itolewayo na Avatar

hahahaaaa

ila umetuonea kwa kusema wadada zaidi. kwani humu hakuna Me wenye makidai, na ma avatar ya kututega .. wengine ma six pack, wengine vitambi, wengine naniliu na kadhalika.


credit izifikie avatar kwa kweli maana ingekuwa majangaaaa

Kwi kwi kwi kwi!!!,..alafu uyo ni mwanao ama we mwenyewe ulivyokua mtoto?
 
Hata sitaogopa maana najiamini na najijua, FB, IG mbona wanaweka picha na hakuna anaekimbia?
 
Si ndo raha sasa mtu anakuona live live tofauti na imagination, anapunguza na maswali ya kukaa anakukisia tu!
 
nani atajua ni picha yangu? nani ananijua, pia nauwezo wa kukana. sio mimi ni photoshop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom