che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 658
- 1,085
Katika kumbukumbu zangu,ukiondoa vita vya Kagera,sidhani kama Kuna janga lilisababisha vifo vingi kama la mv bukoba.Ilishtua taifa sanaEl nino na ajari ya Mv bukoba ndio vitu ambavyo rais Benjamin mkapa analaumiwa na waathirika utadhani alisababisha yeye binafsi
Halafu Kuna Ile ya treni