Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

Dr. Slaa anataka kibali cha kuoa kwa kuvunja rasmi ndoa yake na Rose kwa kuwa waliishi kwa muda wa kisheria kuwa mke na mume. Kwa mantiki hii hata kama hawakuwa na ndoa ya kidini, kiserikali au kimila basi ni lazima ivunjwe kisheria ili hata kama kuna mgawo wa mali ufanyike na matunzo ya watoto kama ni wadogo (wa kwao ni watu wazima).
Pia ijulikane kuwa ni kweli Dr. Slaa alikuwa ni padre na aliomba kuacha!!! Mchakato wa kuacha upadre ni mrefu sana kuanzia nchi au shirika uliloko hadi Roma na inachukua muda mrefu. Ninachofahamu mimi Dr. Slaa aliruhusiwa kuacha upadre na kupewa haki ya kuishi maisha ya kilei na kuoa!!

Mkuu achana na huyu pumpkin head. Haelewi kirahisi, labda umpige na UFO kichwani ndio ataelewa.
 
Yaani ukipitia SCRIPT ya Shonza kuhusu namna Saanane alivyotaka kumuua Zitto then ukapitia script ya Kova ya jinsi walivyokamata jambazi kutoka Kenya kanisani kwa Gwajima likitubu kutaka kumuua Ulimboka unaweza kudhani AUTHOR ni mmoja...

Moja ya sifa za IQ ndogo ni kushindwa kutunga uongo

utasema sana lakini ukweli ataueleza kesho benn mbele ya police,dogo alikuwa tayari kumuua zitto kisa njaa.dah njaa ni mbaya.
 
Hongera kwa uchambuzi mzuri, inaonekana umefuatilia sakata hili kwa umakini mkubwa, naamini Chadema itaendelea kukua kwa sababu ya uwepo wa watu mahili na wenye uelewa kama wako. Naomba kuweka kumbukumbu sahihi. Dr Kitilla Mkumbo alikuwa Singida kwenye kesi yake tarehe 17/12/2012. Tarehe 18/12/2012 na 19/12/2012 amekuwa na mikutano ya hadhara na ya ndani jimboni Iramba hivyo si kweli kuwa alikutana na Ben Sanane na Zitto kwa tarehe hiyo ya 18/12/2012 kwani Dr alikuwa Singida, Ben alikuwa Dsm na Zitto sijajua alikuwa wapi. Kwa maelezo ya Ben Sanane, mawasiliano yao yalikuwa kwa njia ya simu. Ikumbukwe Dr Kitilla ni mmoja wa viongozi na wanachama wa cdm wenye busara na uelewa mkubwa, hivyo kumshauri Sanane akanushe hiyo habari ninadhani ni kuruhusu taratibu za ndani ya chama zifuatwe, hilo ni jambo jema kwa maslahi ya chama na watanzania. Vyovyote iwavyo vijana wamekosea kuna haja kwa chama kuchukua hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuwaonya na kuwaelekeza namna bora ya kuwasilisha madukuduku yao, lakini wasipuuzwe kwani pamoja na mambo yote wanaonekana wana jambo linalowasumbua, ninapowazungumzia vijana namaanisha Ben, Mamuya, Shonza, Mchange, Mwampamba, Sanga, Gwakisa pamoja na Zitto.
 
utasema sana lakini ukweli ataueleza kesho benn mbele ya police,dogo alikuwa tayari kumuua zitto kisa njaa.dah njaa ni mbaya.
Humu JF tupo watu wazima wenye uzoefu na mambo mengi yanayohusu maisha. Huwezi kunishawishi mtu atake kumuua kiongozi mkubwa kama Zitto kwa sumu ya panya, tena aliyoifunga kwenye KARATASI na kuitia kwenye bahasha yenye hela. Ili mtu afe kwa sumu inategemeana na kiwango cha sumu aliyomeza na sumu ya panya unatakia unywe nyingi mno kukuua, na sio kiduchu uliyochanganywa kwenye kinywaji. Na kwa nini mmeibuka na hii hoja na mashtaka baada ya MASALIA kuumbuliwa na hamkufungua mashtaka wakati husika wa tukio. Mimi ninachokiona hapa ni PLAN B mliyopewa na CCM baada ya PLAN A mliyopewa na CCM kufeli. Ili iibuke stori ya Zitto alitaka kuuwawa kufifisha hii ya Zitto kuanzisha chama na nyie kula kiapo kwa mganga wa kienyeji
 
Dr. Slaa anataka kibali cha kuoa kwa kuvunja rasmi ndoa yake na Rose kwa kuwa waliishi kwa muda wa kisheria kuwa mke na mume. Kwa mantiki hii hata kama hawakuwa na ndoa ya kidini, kiserikali au kimila basi ni lazima ivunjwe kisheria ili hata kama kuna mgawo wa mali ufanyike na matunzo ya watoto kama ni wadogo (wa kwao ni watu wazima).
Pia ijulikane kuwa ni kweli Dr. Slaa alikuwa ni padre na aliomba kuacha!!! Mchakato wa kuacha upadre ni mrefu sana kuanzia nchi au shirika uliloko hadi Roma na inachukua muda mrefu. Ninachofahamu mimi Dr. Slaa aliruhusiwa kuacha upadre na kupewa haki ya kuishi maisha ya kilei na kuoa!!

Mkuu mbona kauli yako tofauti na ya Dr Slaa, nadhani ujaifuatilia vizuri kesi ya Dr Slaa na Rose Kamili, Dr Slaa anasema yeye Rose Kamili walikuwa hawajafunga ndoa walikuwa wanaishi tu. Kimsingi hakuna ndoa. Anaiomba mahakama itambue hivyo...hiyo ya kibali ndiyo naisikia kwako.
 
Kwa hakika Dr. Slaa anafahamu sheria ya ndoa na hawezi kusema hivyo. Katika maelezo ni lazima awali kabisa unaeleza state of marriage na pale for sure ni lazima asema hawakufunga ndoa kanisani, wala serikalini wale kimila. Wenye ndoa wanaanza mimi fulani nimefunga ndoa ya kikristu/kiislam/kimila/kiserikali ..ni must kusema hivyo. So wabaya wa CDM na Dr. ni lazima wa capitalize kwa kuteka neno 'sijafunga ndoa'. Naamini umenipata mkuu. Sheria ya ndoa imelala kichwani kwangu!!! Ha ha ha!! By the way utaungana na CDM kwa mapokezi ya hero Lema kesho? Wametoa ratiba tayari!! Nimeshapata tiketi ya fastjet!!! Good nite mkuu!
 
Usaliti ndo dhambi ya mwisho katk jeshi,adhabu yake ni kifo,siasa ni tofauti kdg,adhabu yake si kusamehewa ila ni kupigwa exile,kizuizini.kwa ushndani wa sasa wa siasa za tz,huwezi samehe watu hawa,wapigwe chini,warudishe kadi za chama,kimsingi hata ben saanene,huwezi kumuamini,apigwe probation yakutosha kwani mwl nyerere amewai kusema ukila nyama ya mtu,huwezi acha utakula tu tena.
 
Zitto ananafasi nyingi za kujisafisha hata kama anatuhuma kali. Zitto anaweza kuibuka bungeni na hoja moja matata sana akawazima kiaina wapinzani wake, au anaweza kufumua uozo mmoja tu kuhusu mradi wa gesi akarudi kwenye chati yake. Ila hawa mapimbi a.k.a PM7 hawana pa kujishikia zaidi ya kutegemea uhai wa zitto kisiasa..ushauri warudi tu kundini,kama wanategemea kutoka kupitia zitto wataishia kupiga blabla humu jf na id's zao feki na ambazo tumeshazijua.!
 
Last edited by a moderator:
mi nilifikiri ni polonium isotope 210 kumbe ni red cat,hebu acheni utani.

mkuu hata mimi nilicheka sana,never katika ujasusi kutumia sumu ya panya,sumu zooote na tchnics zote zilizopo. Wakajipange hao watu.
 
Zitto ananafasi nyingi za kujisafisha hata kama anatuhuma kali. Zitto anaweza kuibuka bungeni na hoja moja matata sana akawazima kiaina wapinzani wake, au anaweza kufumua uozo mmoja tu kuhusu mradi wa gesi akarudi kwenye chati yake. Ila hawa mapimbi a.k.a PM7 hawana pa kujishikia zaidi ya kutegemea uhai wa zitto kisiasa..ushauri warudi tu kundini,kama wanategemea kutoka kupitia zitto wataishia kupiga blabla humu jf na id's zao feki na ambazo tumeshazijua.!

Unajua ni ccm wamekuwa wakimpenyezea inshu's aonekane mkali, wamekuwa wakimlea namna hiyo ionekana bado yuko kwa chart,lkn zamani tu sasa Kabwe wa sasa sio yule wa wakati ule anatokelezea ktk siasa ambapo anachoongea alikuwa anamaanisha.
 
Nimesoma hizi habari za Masalia na ukiunga na habari ya Zitto, unaona kabisa hii habari ya SUMU ya Panya kutumika kumuuwa Zitto imepambwa mara nyingi sana. Kwa maana nyingine, masalia wote wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa Saanane alikuwa na Sumu ya kuuwa Panya na alikuwa kapanga kuja kumuuwa Zitto.

Haya ni mashtaka mazito sana ambayo nina imani yataishia Mahakamani.

Swali langu kweny nyie Masalia ni hili:

Kama Zitto amesema hilo pia ila HAJAMTAJA mtu ila nyie ndiyo mmekwenda mbali zaidi hadi KUMTAJA mtu na tena kwa majina yenu kabisa, hamuoni kuwa MKIENDA Mahakamani na kuanza kurushiwa maswali mazito na mtu kama Tundu Lissu itakuwa ngumu sana kwenu kujitetea? Mtaweza kweli kujibu tuhuma zenu bila ya wasiwasi wowote kuwa Saanane alikuwa na sumu ili amuuwe Zitto?

Kumbuka tena, Zitto hajataja mtu ila nyie ndiyo mmetaja. Mwenzenu yupo upande wa pili wa mto hajavuka ila nyie ndiyo mmeshajitosa. Kuwakana au kudai ni maneno aliyoyasikia kutoka kwenu ni rahisi sana. Ila nyie mnaweza kuwekwa kikaangoni sasa hivi na mkashindwa kesi na mkaishia kulazimishwa kulipa faini kubwa tu ambayo mtakuwa hata uwezo wa kulipa hamna na muishie JELA au kulialia kwenye majukwaa ya CCM ili mlipiwe faini na Mabwana zenu wa CCM.

Nawakumbusha kuwa, NJIA nzuri kwenye bado ni kwenda kukiangukia Chama na kuomba Msamaha na kukiri yote ili mambo yaishie ndani maana vinginevyo, nina wasiwasi kuwa mwisho wenu hili swala la SUMU peke yake utakuwa ni mbaya sana. Wasikieni tu Mawakili nyie vijana mko huko nje ila ukiwekwa Kizimbani na hapo hakuna CCM wala Zitto kukusaidia, kumbukeni maneno yangu ni sehemu mbaya sana maishani. Kwa bahati mbaya sana, Kizimbani hutaruhusiwa KUMTUKANA Dr. Slaa kama njia ya kujibu maswali au kudai utetezi wako Saanane na sumu ni "Dr. Slaa na hawala yake" ingawa wote twajua ni MKE (hata adabu hamna).

You still have TIME to do the RIGHT THING. Good Luck.
kweli kaka!
 
Zitto anawatumia hawajui tu, labda keshawafanya mazezeta.

Kati yao kuna mmoja alisema kuwa walipelekwa kwa KALUMANZILA kulishwa kiapo cha uaminifu na kutotoa siri ya kikundi
 
mutapigana sana kumpinga na kumchonganisha zitto na viongozi wenzake,bt mujue kupambana na Zitto inabidi mujipange sana tena sana,walishindwa watu mutaweza nyie sisiminzi?

Kweli ww kichwa maji!who s zitto!in short hakuna wa kummaliza,bt anajimaliza mwnyw na wajinga2 km ww anaowatumia
 
Back
Top Bottom