Ha ha ha ha! Ni ile machinga wanatembeza barabarani mchana kutwa na vile vi-spika vyao: "sumu ya panya, sumu ya panyaaaaaaa; na ya kuonja ipo" halafu most of the time ni fake; nasikia ni unga wa muhogo wanachanganya na majivu kidogo.
Nimeinunua mara kabao lakini cha ajabu panya wanazidi kunenepeana ndani kwangu. Wajinga kabisa hawa ZZK na PM7 yao.
Mkuu hiki unachokiandika ni athari za kuishi panya huoni akili ya yako ina mapungufu kutokana uchovu kwa sababu ya kukosa usingizi; kuishi na panya ni dalili ya uchafu badala kupoteza muda JF jaribu kusafisha mazingira unayoishi!
Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz
Last edited by a moderator: