Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

Hivi Ritz and co. Haujui kuwa kwa Tanzania ukikaa na mwanamke kinyumba zaidi ya miezi sita tayari amekuwa ni mke wako! Mbona akili zenu ni kama za masalia. Nimetumia wingi kwa sababu sijui sasahivi nani yupo zamu kutoka lumumba

Pitia upya sheria ya ndoa usitake kulazimisha kama Dr Slaa kaoa kisa unampenda..
 
Kwakweli sitegemei Ben Saanane aache haya mambo yapite hivihivi!
 
Last edited by a moderator:
Kaunga umeridhishwa pasi na shaka vijana wanatumiwa?

Ushahidi wa kimazingira unanionesha hivyo. Angalia, Zitto alijitetea kwenye posts zote kwenye Uzi wa Mamunya, the rest, badala ya kujitetea walikuja kumtetea Zitto zaidi.

Ben alisema kwenye post yake kuwa, walipelekwa kwa mganga kula yamini; ni yeye tu na Juliana waliogoma.
 
Mkuu huu upuuzi wa hawa panya usiutilie maanani.
Kimsingi Ben ni mhuni tu na msaliti, ila amewazidi akili hawa panya wengine. Inawezekana na yeye ameaga kwao kama Zitto. Hahahhahaaa.
Yaani ukipitia SCRIPT ya Shonza kuhusu namna Saanane alivyotaka kumuua Zitto then ukapitia script ya Kova ya jinsi walivyokamata jambazi kutoka Kenya kanisani kwa Gwajima likitubu kutaka kumuua Ulimboka unaweza kudhani AUTHOR ni mmoja...

Moja ya sifa za IQ ndogo ni kushindwa kutunga uongo
 
Pitia upya sheria ya ndoa usitake kulazimisha kama Dr Slaa kaoa kisa unampenda..
Sawa rits&co. Ninaimani suala la Slaa kutokuoa angalau linaisaidia CCM kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania. Mtashinda sana mtandaoni lakini haitawasaidi magamba ninyi!
 
Hii story inanikumbusha enzi zile niko darasa la pili wakati tunasoma vitabu vya Juma na Roza juu ya wahalifu waliojificha kwenye manyasi, mmoja alipoona wenzake wameuwawa kwa kupiga kwao kelele na yeye kwa kujua he was safe akapayuka kwa kusema "heri mimi sijasema". Sasa hapa hawa PM7 kama si kujivua nguo na kujionyesha walipokuwa wamejificha ni kitu gani? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Wassira alisema kweli kufika mwaka 2015 Chadema yote itasambaratika.

Nafurahi sana saizi kuna makundi tena bahati nzuri wamejipa wenyewe sijui masalia, panya, manji, dude, prezoo. Hawa unadhani wataweza kulinda kura walivyokuwa na njaa.

Ben Saanane, wewe mafia sana unajua kucheza na akili za watu, umewashikia akili Pro-Chadema wengi JF.
 
Last edited by a moderator:
Pitia upya sheria ya ndoa usitake kulazimisha kama Dr Slaa kaoa kisa unampenda..

Sheria ya ndoa haijabadilika mkuu Ritz, bado ni ile ile ya mwaka 71 ila ikafanyiwa maboresho. Kwa sasa ukiishi na mwanamke 6 months and less 2 years ni mke halali. Na kama mmetengana na mke/mume kwa miaka miwili bila kuwa matrimonial bed mfulilizo ndoa hakuna na mahakama itatengua ndoa hiyo kama wanandoa watapeleka shauri mahakamani. Dr. Slaa na Rose Kamili walitengana zaidi ya miaka miwili likewise kwa Josephine tena na mume wake alishaoa kitambo!! Una lingine unahitaji ufafanuzi?
 
Hakuna mtu wa kumuua mtu mnafiki kama Zitto. Wasitafute huruma ya kijinga hawa masalia. Mtu atake kumuua role model wenu(kiongozi wa masalia) halafu heti jambo mkaamua kulimaliza kishikaji kama vijana. Hapo tu ndio walichemsha hawa masalia wenye akili kama za panzi
 
Sawa rits&co. Ninaimani suala la Slaa kutokuoa angalau linaisaidia CCM kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania. Mtashinda sana mtandaoni lakini haitawasaidi magamba ninyi!

Umebadili mada tena mkuu, msitake kuleta uongo eti Dr Slaa ana mke.

Wewe unashinda wapi? Copy to chama.
 
Last edited by a moderator:
Du kaka uchambuzi wako nimeukubali. Inaonyeaha umepitia maelezo ya mmoja baada ya mwngine. Babako hajapata hasara katika kukusomesha. Hongera.

Sangoma masalia chini ya ZZK wanayo ya kujibu. Wakafie mbali huko Kigoma. Waondoke ndani ya CDM
 
Sheria ya ndoa haijabadilika mkuu Ritz, bado ni ile ile ya mwaka 71 ila ikafanyiwa maboresho. Kwa sasa ukiishi na mwanamke 6 months and less 2 years ni mke halali. Na kama mmetengana na mke/mume kwa miaka miwili bila kuwa matrimonial bed mfulilizo ndoa hakuna na mahakama itatengua ndoa hiyo kama wanandoa watapeleka shauri mahakamani. Dr. Slaa na Rose Kamili walitengana zaidi ya miaka miwili likewise kwa Josephine tena na mume wake alishaoa kitambo!! Una lingine unahitaji ufafanuzi?

Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi, kama sheria inatambua Dr Slaa kaoa kwa nini sasa Dr Slaa anaiomba mahakama imruhusu afunge ndoa.

Halafu kama hiyo sheria bado inatumika unataka kuniambia Rose Kamili, bado ni mke halali wa Dr Slaa? Wameishi pamoja toka mwaka 1985 wakati Dr Slaa bado Padri.
 
kwanini walikubali kumpa Ben Saanane jina la Cobra? Au kwa nini alijipa jina hilo? kuhusu Zitto na hao masalia hivi kweli mtu ajaribu kuniuwa then aendelee kuwa rafiki? Yaani tuendelee kukutana na kuongea? Ingawa hakukutana na Zitto ila alikutana na best friends wa Zitto hivi kweli Zitto hakufikiri kuwa marafiki zake wa karibu wana weza msaliti kwa kuwa karibu na mtu aliyetaka kumuua?
To me the way the story goes, is there where no sumu in Ben Saanane at any time. This is a made up story for them(masalia) to get the way out.
wanachosahau ni kwamba Ben hajanaka kuwajua au kuhusika kukihujimu chama, ila yeye ametubu. period
 
Vijana hawa wanafikiria kwa kutumia tumbo zao. Wanahitaji ajira kwa kupitia vyama vya siasa. na wamekuta katika vyama hivi kuna ushindani ambao sheria za ushindani huu hawazioni wao. Wanachoona wao ni vyeo wanavyovitamani na ajira wanazoziota. Nilisema kabla kuwa akili nyingi bila nidhamu ni USHENZI. Hawa vijana hawajui kuwa public life ina standards ambazo zinatarajiwa kutoka kwao na hao wanaotaka kuwatawala. Wanataka kututawala na kudai ni haki yao kututawala. Sawa. Lakini NIDHAMU ya kiwango ndio tunayoitegemea kutoka kwao kweli????????

Suala la kuwajibika bado hawajalielewa hata kidogo. Wamekuwa ni wepesi wa kupigia viongozi wa serikali ya CCM kelele pale wanapoharibu na hawataki kuwajibika. Lakini wao leo wameingia kwenye shimo lile lile na hawajui ETI cha kufanya.

tatizo la hawa wooote ni PRIDE. Wanafikiria wana akili sana kuliko watu wengi (sijui nani aliwadanganya), na wanadhani wanauwezo uliokithiri wa kutawala, hasa wao WANAPOJILINGANISHA NA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA wanajiaminisha kuwa wanao uwezo mkubwa zaidi (ndoto za mchana).

Ni PRIDE ndio inayofunika uwezo wao wa kuona haja ya kuomba msamaha. Sasa, kama hawawezi kuomba msamaha kwa viongozi wawili wa chama - WANAWEZAJE KUOMBA MSAMAHA KWA WANANCHI??
 
Yeah wawe kama Ben wajirudi na kutubu na KUACHA usaliti wao. We all make mistakes men!

mbona bwana benn ni muoga sana,yaan unajitetea wewe umetubu!dah wakati upo kukamilisha kazi ya kuvuruga chadema uliyotumwa na ccm,ubunge rombo haupati hata kwa bunduki.
 
Mkuu gomora wewe ni mchambuzi makini sana. Yaani ZZK na hili kundi ni kitu kimoja na Ben alifanya inteligensia yake kwa ukamilifu kabisa!!! Yaani cha kusikitisha na Dr. Kitila yumo? Sasa hawa wamejichafua kwa kinyesi chao wenyewe!! Hawatasafishika kwa kimiminika chochot isipokuwa tindikali ya kuwaondoa ngozi mbaya waliyovaa ya kinafiki ili wavae ngozi ya upambanaji!! Kwa kuwa wanatumika ni wakati sasa kwa busara za CDM hawa waondoke kabisa!! Wanafiki na machokoraa kabisa.
 
Benn saa nane kesho atahojiwa na police kesho,sambamba na viongozi wawili wa chadema walipanga mchoro mzima wa kumpoteza zitto.Dogo kazi ya kumpoteza Zitto imemshinda,kweli zitto kaaga kwao.
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi, kama sheria inatambua Dr Slaa kaoa kwa nini sasa Dr Slaa anaiomba mahakama imruhusu afunge ndoa.

Halafu kama hiyo sheria bado inatumika unataka kuniambia Rose Kamili, bado ni mke halali wa Dr Slaa? Wameishi pamoja toka mwaka 1985 wakati Dr Slaa bado Padri.
Dr. Slaa anataka kibali cha kuoa kwa kuvunja rasmi ndoa yake na Rose kwa kuwa waliishi kwa muda wa kisheria kuwa mke na mume. Kwa mantiki hii hata kama hawakuwa na ndoa ya kidini, kiserikali au kimila basi ni lazima ivunjwe kisheria ili hata kama kuna mgawo wa mali ufanyike na matunzo ya watoto kama ni wadogo (wa kwao ni watu wazima).
Pia ijulikane kuwa ni kweli Dr. Slaa alikuwa ni padre na aliomba kuacha!!! Mchakato wa kuacha upadre ni mrefu sana kuanzia nchi au shirika uliloko hadi Roma na inachukua muda mrefu. Ninachofahamu mimi Dr. Slaa aliruhusiwa kuacha upadre na kupewa haki ya kuishi maisha ya kilei na kuoa!!
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi, kama sheria inatambua Dr Slaa kaoa kwa nini sasa Dr Slaa anaiomba mahakama imruhusu afunge ndoa.

Halafu kama hiyo sheria bado inatumika unataka kuniambia Rose Kamili, bado ni mke halali wa Dr Slaa? Wameishi pamoja toka mwaka 1985 wakati Dr Slaa bado Padri.

Wee jamaa una akili kiducgu sana wewe.
Kama shoza tu.
 
Zitto amepata mapigo mawili kwa mpigo
1: Usaliti wake umejulikani
2: Mh Lema ambaye alikuwa anamhujumu (rejea maelezo ya Ben) amerudishiwa ubunge wake

mutapigana sana kumpinga na kumchonganisha zitto na viongozi wenzake,bt mujue kupambana na Zitto inabidi mujipange sana tena sana,walishindwa watu mutaweza nyie sisiminzi?
 
Back
Top Bottom