Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Nimesoma hizi habari za Masalia na ukiunga na habari ya Zitto, unaona kabisa hii habari ya SUMU ya Panya kutumika kumuuwa Zitto imepambwa mara nyingi sana. Kwa maana nyingine, masalia wote wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa Saanane alikuwa na Sumu ya kuuwa Panya na alikuwa kapanga kuja kumuuwa Zitto.
Haya ni mashtaka mazito sana ambayo nina imani yataishia Mahakamani.
Swali langu kweny nyie Masalia ni hili:
Kama Zitto amesema hilo pia ila HAJAMTAJA mtu ila nyie ndiyo mmekwenda mbali zaidi hadi KUMTAJA mtu na tena kwa majina yenu kabisa, hamuoni kuwa MKIENDA Mahakamani na kuanza kurushiwa maswali mazito na mtu kama Tundu Lissu itakuwa ngumu sana kwenu kujitetea? Mtaweza kweli kujibu tuhuma zenu bila ya wasiwasi wowote kuwa Saanane alikuwa na sumu ili amuuwe Zitto?
Kumbuka tena, Zitto hajataja mtu ila nyie ndiyo mmetaja. Mwenzenu yupo upande wa pili wa mto hajavuka ila nyie ndiyo mmeshajitosa. Kuwakana au kudai ni maneno aliyoyasikia kutoka kwenu ni rahisi sana. Ila nyie mnaweza kuwekwa kikaangoni sasa hivi na mkashindwa kesi na mkaishia kulazimishwa kulipa faini kubwa tu ambayo mtakuwa hata uwezo wa kulipa hamna na muishie JELA au kulialia kwenye majukwaa ya CCM ili mlipiwe faini na Mabwana zenu wa CCM.
Nawakumbusha kuwa, NJIA nzuri kwenye bado ni kwenda kukiangukia Chama na kuomba Msamaha na kukiri yote ili mambo yaishie ndani maana vinginevyo, nina wasiwasi kuwa mwisho wenu hili swala la SUMU peke yake utakuwa ni mbaya sana. Wasikieni tu Mawakili nyie vijana mko huko nje ila ukiwekwa Kizimbani na hapo hakuna CCM wala Zitto kukusaidia, kumbukeni maneno yangu ni sehemu mbaya sana maishani. Kwa bahati mbaya sana, Kizimbani hutaruhusiwa KUMTUKANA Dr. Slaa kama njia ya kujibu maswali au kudai utetezi wako Saanane na sumu ni "Dr. Slaa na hawala yake" ingawa wote twajua ni MKE (hata adabu hamna).
You still have TIME to do the RIGHT THING. Good Luck.
From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/372254-ccm-yawaruka-mussa-mkangaa-na-wenzake.html

Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.