Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

Unajua hawa akina Juliana na wenzake ni wachanga sana kisiasa.
Wao wanadhani kumtaja Zitto ni kumsaidia bila kujua kuwa hilo linamtia matatani zaidi.

Kumtaja kwao kumedhihirisha kuwa Zitto ni kiongozi wa kundi hilo. Zitto huyo huyo ni kiongozi ndania ya Chama.
Kama ni jeshini hilo ni treason, na vitani basi mtu huyo huondolewa mapema kwa njia zozote.

Ukisoma habari nzima ambayo ni chafu hawa vijana wanadhani kuwa wanaweza ku-survive katika politics wakiwa CDM na kwamba wao ni muhimu sana wakiwa na Zitto ndani ya CDM.
Wanamtanguliza Zitto katika tuhuma nyingi na kuendelea kumuumiza kisiasa.

Kwa hili Zitto ni majeruhi mkubwa sana. Ili aendelee kuwa na heshima inabidi ajiuzulu.
Vinginevyo future yake politically, is seriously compromized labda kama Sangoma watabadilisha mawazo ya wananchi.
 
Hawa PM7 ni wapumbavu kweli kweli................. hii issue ya sumu inahusu maisha ya mtu. sasa kwanini wasubiri mpaka waingizwe kwenye tanuru la moto na Ben Saanane ndo waanze kuropoka habari ya sumu!
Zitto njia alizotumia sina hakika kama inaweza kumjenga
 
Last edited by a moderator:
Hawa PM7 ni wapumbavu kweli kweli................. hii issue ya sumu inahusu maisha ya mtu. sasa kwanini wasubiri mpaka waingizwe kwenye tanuru la moto na Ben Saanane ndo waanze kuropoka habari ya sumu!
Zitto njia alizotumia sina hakika kama inaweza kumjenga
 
Last edited by a moderator:
mi nilifikiri ni polonium isotope 210 kumbe ni red cat,hebu acheni utani.

Ha ha ha ha! Ni ile machinga wanatembeza barabarani mchana kutwa na vile vi-spika vyao: "sumu ya panya, sumu ya panyaaaaaaa; na ya kuonja ipo" halafu most of the time ni fake; nasikia ni unga wa muhogo wanachanganya na majivu kidogo.

Nimeinunua mara kabao lakini cha ajabu panya wanazidi kunenepeana ndani kwangu
. Wajinga kabisa hawa ZZK na PM7 yao.
 
Nguruvi3,

Kwenye downfall ya Zitto, mtu wa kulaumiwa ni Zitto peke yake. Ni yeye ndiye aliyeamua kuungana na kuongoza kikundi cha hawa vijana kubomoa chama ambacho yeye ni kiongozi!

Email za jana toka kwa hao vijana zimetoa picha kamili including maneno ya kashfa ambayo yamekuwa yanatumiwa na CCM dhidi ya viongozi wa CHADEMA -hasa Dr Slaa! Ni hii inazua maswali, je, hiki kikundi kinafanya kazi na CCM?

Kama CHADEMA wataweza kuvuka salama huu mtego, historia inaweza kuwa very kind kwa Ben Saanane. Inawezekana kabisa his action, potentially, saved this country from falling back kwenye mambo ya chama kimoja!

Kwa mtazamo wangu, kwa sasa hivi tuna vyama viwili vya siasa: CCM & CHADEMA. Vingine vinaangukia somewhere in between. Na imechukuwa miaka mingi kufikia hapa tulipo. Ukiua either CCM au CHADEMA, techinically, unabaki kuwa na chama kimoja. Na hapa ndio napata shida juu ya hawa PM7! Hivi ni kweli Zitto hakujua madhara ya hiyo PM7 kwa mapana?
 
Last edited by a moderator:
mi nilifikiri ni polonium isotope 210 kumbe ni red cat,hebu acheni utani.

Hahahahaaaa.... redcat inaua fasta kuliko polonium mkubwa... ila inavyonuka hata wakikuwekea kwenye fenesi lazima ushtukie...
 
jamani, hili jina masalia limetumika likimaanisha nini?

Sijui kwanini hawakujifunza kwa wenzao walioishi air port wakitegemea ticket ya kwenda ulaya bila kuilipia.....Why did they choose a failed group nick name? lol!
 
sumu ni sumu,tayari taarifa hizi police wanazo na si saa nane tu,kuna viongozi watatu wa chadema watahojiwa na njama zao za kumtoa uhai zitto.hii insu itaondoka na watu ambao hamujawai tarajia na hapo ndipo tutakapojuwa nan mnafiki na muuaji chadema.

na dr.slaa na mbowe wamo, wanataka kumuangamizi kama chacha wangwe
 
Nimesoma hizi habari za Masalia na ukiunga na habari ya Zitto, unaona kabisa hii habari ya SUMU ya Panya kutumika kumuuwa Zitto imepambwa mara nyingi sana. Kwa maana nyingine, masalia wote wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa Saanane alikuwa na Sumu ya kuuwa Panya na alikuwa kapanga kuja kumuuwa Zitto.

Haya ni mashtaka mazito sana ambayo nina imani yataishia Mahakamani.

Swali langu kweny nyie Masalia ni hili:

Kama Zitto amesema hilo pia ila HAJAMTAJA mtu ila nyie ndiyo mmekwenda mbali zaidi hadi KUMTAJA mtu na tena kwa majina yenu kabisa, hamuoni kuwa MKIENDA Mahakamani na kuanza kurushiwa maswali mazito na mtu kama Tundu Lissu itakuwa ngumu sana kwenu kujitetea? Mtaweza kweli kujibu tuhuma zenu bila ya wasiwasi wowote kuwa Saanane alikuwa na sumu ili amuuwe Zitto?

Kumbuka tena, Zitto hajataja mtu ila nyie ndiyo mmetaja. Mwenzenu yupo upande wa pili wa mto hajavuka ila nyie ndiyo mmeshajitosa. Kuwakana au kudai ni maneno aliyoyasikia kutoka kwenu ni rahisi sana. Ila nyie mnaweza kuwekwa kikaangoni sasa hivi na mkashindwa kesi na mkaishia kulazimishwa kulipa faini kubwa tu ambayo mtakuwa hata uwezo wa kulipa hamna na muishie JELA au kulialia kwenye majukwaa ya CCM ili mlipiwe faini na Mabwana zenu wa CCM.

Nawakumbusha kuwa, NJIA nzuri kwenye bado ni kwenda kukiangukia Chama na kuomba Msamaha na kukiri yote ili mambo yaishie ndani maana vinginevyo, nina wasiwasi kuwa mwisho wenu hili swala la SUMU peke yake utakuwa ni mbaya sana. Wasikieni tu Mawakili nyie vijana mko huko nje ila ukiwekwa Kizimbani na hapo hakuna CCM wala Zitto kukusaidia, kumbukeni maneno yangu ni sehemu mbaya sana maishani. Kwa bahati mbaya sana, Kizimbani hutaruhusiwa KUMTUKANA Dr. Slaa kama njia ya kujibu maswali au kudai utetezi wako Saanane na sumu ni "Dr. Slaa na hawala yake" ingawa wote twajua ni MKE (hata adabu hamna).

You still have TIME to do the RIGHT THING. Good Luck.



From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/372254-ccm-yawaruka-mussa-mkangaa-na-wenzake.html

Ukitaka kumkamata inzi basi tega kinyesi, hawa jamaa kiherehere chao na kutojua sheria inawagharimu walipe juluku sasa
 
tumesikia maneno mengi ya kashfa, dharau, na matusi kutoka kwa mchange juliana shoza, tuntemeke na mtela mwampamba, wamefanya hivyo mara kadhaa kwenye fb wall zao.

Tumekerwa na mengi na tukavumilia mengi maana wengine tuliona kuna utoto na vurugu za maono kwenye mbongo zao.

Hili la sumu sio swala la kuacha lipite hivihivi,hapa lazima wote walio singizia kuwa zitto alitaka kuuwawa na sumu na kinara wa hilo akiwa ben saanane basi lazima wadhibitishe bila chembe ya shaka kuwa ni kweli mpango huo ulikwepo ili hatua stahiki zichuliwe, mahali pekee pa wao kudhibitisha madai yao si pengine ni mahakamani.

Kuwawa kwa zitto ni serious allegation ambazo ni lazima zifanyiwe kazi ili kukitakasa chama na walio tuhumiwa kuwa walitaka kuuwa mwanachama mwenzao.

Kwa maono yangu.
Katika mambo ambayo lazima kuonyesha u-serious ni pamoja na hili. Tena bila ya kumuuonea mtu aibu. ben saanane anaweza kuanza mchakato wa mashtaka hayo kwa kuwasilisha malalamiko kwenye baraza la wazee la chama. Wahusika wakiitwa na kushindwa kuweka ushahidi suala hilo liende mahakamani kwa uamuzi zaidi, hivyohivyo kama ben nae itadhihirika bila chembe ya shaka kuwa alikuwa na mpango wa kuuwa kwa sumu naye sheria ichukue mkondo wake.

Lazima tulazimishe kuhama kutoka kwenye siasa za kutungiana uwongo na kuviziana tuje kwenye siasa safi zenye mashiko.

mumewatungia ccm uongooo mwingi sasa mumeshindwa damu ya mauti imewageuka mnatungiana ninyi kwa ninyi,...... Na bado tutaona mengi....
 
zito,zito,zito,every conner of this forum ,ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka sasa
zito ni ngoma iliyopasuka ,kigeu geu mwenye msimamo wa kulegalega ,msikitini wala kanisani haeleweki
ccm wala cdm hapendeki,mafisadi au uzalendo hasomeki@
ANGATUKE AU AMRUDIE KWELI ALIOANZA NAYO
 
Tena wapande jukwaani na kueleza uma vyema, wapelekwe miko apolisi waliyoua watu ili kuiabish akabisa CCM otherwise waachie raia wawasulubu.Watambulishwe kwa kauli rahisi."Haya Sasa ni Muda wa toba, na ktk y ahwa vijana mwenye kutaka toba atubu kwa wananchi na viongozi wa umma asiyepedna na aongee apendalo"
 
utasema sana lakini ukweli ataueleza kesho benn mbele ya police,dogo alikuwa tayari kumuua zitto kisa njaa.dah njaa ni mbaya.
We kweli hamnazo,
Yaani utoke leo ukimbilie Polisi ukaseme Mwezi April Ben alitaka kumuua Zitto??

Utaulizwa why kukushitaki toka hiyo April, utajitetea kua mlikua marafiki ukamfichia siri, sasa mmegombana ndio unamchoma!!

My friend, unatafuta kununua kesi maana utaunganishwa tu kwenye hiyo kesi. Mbaya zaidi kama ni kweli anaweza akajipanga akachomoka ukabaki umeumbuka!!
 
Umebadili mada tena mkuu, msitake kuleta uongo eti Dr Slaa ana mke.

Wewe unashinda wapi? Copy to chama.

Mkuu Ritz
Kamusi ya kiswahili inayotumika Chadema ni mashaka matupu; kimada na hawara wao wamegeuza mke;

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Umebadili mada tena mkuu, msitake kuleta uongo eti Dr Slaa ana mke.

Wewe unashinda wapi? Copy to chama.

Mkuu Ritz
Kamusi ya kiswahili inayotumika Chadema ni mashaka matupu; kimada na hawara wao wamegeuza mke;

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom