Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Mkuu wa wilaya.
Ameagizwa WAZIRI MKUU MSTAAFU akamatwe.
Vichekesho hivi.
 
Sumaye akikamatwa itakuwa ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge...
 
Miradi ni ya Jumuiya,na wanapoenda wapiga kura wanaangalia namna gani wanaweza kuifanya vizuri zaidi kushirikiana na wadau.

Kama hutaki wadau waje kuona miradi yao,sasa unaijenga ya nini??Tusifanye SIASA chafu,kila Mtanznaia anayohaki ya kukagua miradi.

Kuna miradi imegharamiwa na wafadhili imekuwa miradi HEWA kwanini wasiende??Hakuna sababu.
Aende kwani yeye ni mfanyakazi wa manispaaa?
 
Tramadol haelewi anachokichangia, si lazima ufikiri unajua kila kitu vingine unasoma unalike na kwenda kulala
Kwani ni maharusi ndiyo unaenda kuwatembelea salam then unaondoka!?!

Kwenye miradi ya wanainchi ni issue, afuate utaratibu tu hakuna shida Sasa yeye anaondoka tu na Meya wake wanaanza mizunguko wakati wenye nyumba hawajui!?![/QUOTE]
Mkuu una uhakika na unachokisema, anyway kuna mengi yanayotokea ukiachilia hili yanayotoa picha isiyo nzuri kwa serikali hii, haswa kwa suala la demokrasia na utawala wa sheria. Haya yote yanajenga taswira isiyo nzuri kwa wananchi wenye kujielewa na hayana tija yoyote kwa mustakabali wa taifa letu. Mkuu wa nchi kuna mambo anayafanya na ana nia ya kuyafanya vizuri ila kwa eneo hili amefail sana. Mungu ampe hekima na busara katika eneo hili ambalo hana haja ya kutumia nguvu, chuki na visasi.
 
Magufuli anabatiza kwa moto lazima ashangae, ubatizo wa maji umeshapitwa na wakati
 
Sumaye sio lema au lissu... Yule ni waziri mkuu mstafu tena awamu ya tatu kwa miaka kumi yote..... Sio rahisi rahisi hivoo na analindwa na taasisi ya serikali
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
Kamatwa wewe kama unajiskia raha kukaa kwenye ndoo
 
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Sioni shida kama walikuwa wanatembelea miradi, ikizingatiwa waliongozana na meya wa eneo husika kama mwenyeji wao
 
Kwakweli hakuna sababu ya kumkamata huyu mzee.
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
Atakamatwa tu kama walivyowakamata Walemavu Post a na kuwapa kichapo. Kama walivyompa Company Dc hai Kungo'a Matembele na nyanya za Mbowe. Dc wa zama hii wanazuia Wananchi kutembelea miradi ya Maendeleo Wilaya usiyoishi japo Tanzania ni moja. .
 
Back
Top Bottom