Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
RPC na OCD wa ubungo wameshindwa kazi
 
Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ameshangaa agizo la mkuu wa wilaya ya Ubungo la kutaka akamatwe
Ameseam serikali inataka kukatisha tamaa mipango ya Chadema lakini hawataweza, wataleta vurugu zisizo na msingi

Amedai wao walikuwa wanatembelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na madiwani wa Chadema kwa faida ya wananchi na kama CCM wanavyofanya na kuhoji hilo ni kosa kwa misingi ipi

Awamu ya mateja kushika madaraka
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.

Hapa JF kuna watu wanashindwa kuelewa lengo la mleta mada. huyu jama yupo sahahi kaandika kuwakebehi watoa amri za kitoto.
 
ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga
Mkuu una uhakika na ulichoandika?Madiwani na Wabunge hawatekelezi miradi ya chama bali ya wananchi, ila tu wamepata nafasi hizo kwa kuchaguliwa na wananchi kupitia vyama vyao vya siasa. Hakuna mantiki yoyote kuwazuia viongozi wa vyama kutembelea miradi hiyo. Nchi hiinyetu sote hata wasiokuwa wafuasi wa vyama na ni muhimu kuvumiliana na kuheshimiana kama hakuna uvunjifu wowote wa amani. Hii inapunguza umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
 
Lini mimi nimewahi kusema mna wivu wa maendeleo?

Magufuli nimeshamchana mara kibao humu kwa hizo tabia zake za kidikteta.

Hivyo tafuta jingine.
Bora kuwa Neutral kutetea wanaoonewa na kupongeza wanaofanya Vizuri haijalisha mrengo upi.
 
[QUUOTE="tramadol, post: 21746558, member: 330582"]Narudia tena Sumaye haruhusiwi kisheria kukagua miradi yoyote ya Serikali yeye kama yeye labda kama yupo ktk msafara wa ukaguzi kwa mwaliko maalumu wenye sababu mahususi.

Na kama ilivyo kwa hata kwa Marais wastaafu hawaruhusiwi kukagua miradi yoyote yoyote ya Serikali unless wamealikwa kwa mwaliko maalumu na kwasababu mahususi.[/QUOTE]
Hebu jaribu kututofautishia kati ya haya mawili. Walikuwa wanakagua ama walikuwa wanatembelea? Tuanzie hapo kwanza
 
Narudia tena Sumaye haruhusiwi kisheria kukagua miradi yoyote ya Serikali yeye kama yeye labda kama yupo ktk msafara wa ukaguzi kwa mwaliko maalumu wenye sababu mahususi.

Na kama ilivyo kwa hata kwa Marais wastaafu hawaruhusiwi kukagua miradi yoyote yoyote ya Serikali unless wamealikwa kwa mwaliko maalumu na kwasababu mahususi.
Pole mkuu
 
[QUUOTE="tramadol, post: 21746558, member: 330582"]Narudia tena Sumaye haruhusiwi kisheria kukagua miradi yoyote ya Serikali yeye kama yeye labda kama yupo ktk msafara wa ukaguzi kwa mwaliko maalumu wenye sababu mahususi.

Na kama ilivyo kwa hata kwa Marais wastaafu hawaruhusiwi kukagua miradi yoyote yoyote ya Serikali unless wamealikwa kwa mwaliko maalumu na kwasababu mahususi.
Hebu jaribu kututofautishia kati ya haya mawili. Walikuwa wanakagua ama walikuwa wanatembelea? Tuanzie hapo kwanza[/QUOTE]
Tramadol haelewi anachokichangia, si lazima ufikiri unajua kila kitu vingine unasoma unalike na kwenda kulala
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
Kwa hii chuki muogope Mungu
 
Ccm ni manyang'au wanataka wao ndo waonekane wanafanya kila kitu, shame on thir faces
 
Hebu jaribu kututofautishia kati ya haya mawili. Walikuwa wanakagua ama walikuwa wanatembelea? Tuanzie hapo kwanza
Tramadol haelewi anachokichangia, si lazima ufikiri unajua kila kitu vingine unasoma unalike na kwenda kulala[/QUOTE]
Kwani ni maharusi ndiyo unaenda kuwatembelea salam then unaondoka!?!

Kwenye miradi ya wanainchi ni issue, afuate utaratibu tu hakuna shida Sasa yeye anaondoka tu na Meya wake wanaanza mizunguko wakati wenye nyumba hawajui!?!
 
Back
Top Bottom