Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Kodi zetu; alafu mkuu wa wilaya anapanga nani wa kukagua miradi iliyotekelezwa na meya wa chama kinachokalia kitu cha sehemu husika!!! Kwani ilani ya chadema inatekelezwa na ccm? Wachache waziri mkuu mstaafu yy alikwenda kukagua yale yalipo kwenye ilani ya cdm na si vinginevyo. Ni haki yake kukagua ilani imetekelezwa kwa asilimia ngapi.
 
Mmeziea matamko na maagizo kutoka juu!! Hilo neno litakuja kutokea puani watu
 
Kweli kabisa maana wale wa kibiti wamewashindwa
 
Tofautisha kutembelea miradi na kukagua miradi! Hawa walikuwa wanatembelea miradi-jambo ambalo hata wewe na familia yako mnaweza kuitembelea, sasa kwa kuwa mkuu amezuia siasa na madc wameagizwa kudhibiti upinzani, huyo DC aliona kitendo hicho kitawapa fursa Chadema ya kufanya siasa, akaamua kujitoa akili!
nope walikuwa WANAKAGUA SIO KUTEMBELEA...mimi binafsi nilijua ni kutembelea jambo ambalo sishida lkn habari zimesema kukagua miradi nahiyo ndoshida ilipo
 
Mkuu unajua maana ya Great Thinker? Kwa akili zako Sumaye ndiyo muhalifu kuliko mawaziri waliosaini mikataba ya ajabu?
 
Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ameshangaa agizo la mkuu wa wilaya ya Ubungo la kutaka akamatwe
Ameseam serikali inataka kukatisha tamaa mipango ya Chadema lakini hawataweza, wataleta vurugu zisizo na msingi

Amedai wao walikuwa wanatembelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na madiwani wa Chadema kwa faida ya wananchi na kama CCM wanavyofanya na kuhoji hilo ni kosa kwa misingi ipi



Kaazi kweli kweli.
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
Hahahaaaaa,,,,,,,,,amri za kipumbavu hao askari wameanza kuwadharau wakurupukaji
 
Aliyezoea ubaguzi, na chuki, akiwamaliza watoto wa kambo, ataanza na watoto wake mwenyewe aliowazaa.. MaDC, acheni kupanda mbegu za chuki, si vizuri kabisa. Leo waziri mkuu mstaafu unamtangazia kumtupa lupango Kesho ni nani kama si Raisi mstaafu?.Tuwaheshimu wastaafu wetu..
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
Wewe yanakuhusu nini? Si uende tu ukamkamate!?
 
Nakukumbusha ndugu yangu Member hayo maneno "Kama unataka mambo yako yakunyookee njoo CCM" yalitamkwa na mh. JK kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa chama chao. Hayakutamkwa na Sumaye..
 
Back
Top Bottom