Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ameshangaa agizo la mkuu wa wilaya ya Ubungo la kutaka akamatwe
Ameseam serikali inataka kukatisha tamaa mipango ya Chadema lakini hawataweza, wataleta vurugu zisizo na msingi

Amedai wao walikuwa wanatembelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na madiwani wa Chadema kwa faida ya wananchi na kama CCM wanavyofanya na kuhoji hilo ni kosa kwa misingi ipi

Agizo la kipuuzi kwanini hakutoa tamko bosi wake akamatwe alipofanya mkutano wa chama Ikulu
3577fe752d88673b1e6bc6a5f1e08f16.jpg
 
ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga
 
kuna nn kwan, alivyotembelea hiyo miradi kuna vurugu ilitokea pahali! kweli mpinzani tz yataka moyo.
 
Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ameshangaa agizo la mkuu wa wilaya ya Ubungo la kutaka akamatwe
Ameseam serikali inataka kukatisha tamaa mipango ya Chadema lakini hawataweza, wataleta vurugu zisizo na msingi

Amedai wao walikuwa wanatembelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na madiwani wa Chadema kwa faida ya wananchi na kama CCM wanavyofanya na kuhoji hilo ni kosa kwa misingi ipi

Katika mawaziri wakuu Bomu waliowahi kuvumiliwa Tanzania ni huyu.
 
Sumaye atulie tu, kipindi yupo madarakani walipitisha sharia za kipumbavu alijua ni kwa ajili ya Mbowe pekee, hili no fundisho kwa watawala wrote.
 
Back
Top Bottom