Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Sikumbuki kero kama.za sasa kutoka awamu ingine isipokuwa ya kikwete hapa mwishoni.
 
Sumaye haruhusiwi kukagua miradi yoyote ile ndani ya Serikali kisheria.

Na Mstahiki Meya ana taratibu zake za kazi kwa mujibu wa sheria ndani ya Municipal.

Mwenye mandate kuhusu kazi za Tamisemi ni DED na Serikali Kuu ni DC.

Mambo ya Siasa nayo yanataratibu zake kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.
Mheshimiwa kada,kumbuka unaposema jambo flani liko kwa mujibu wa sheria ukumbuke na kuitaja sheria husika. Wewe na DC wako hakuna anaetuambia ni sheria ipi imetumika, kama hamjui basi jueni kuwa mnaongea upepo na sidhani kama hata hiyo sheria mnayoisema ipo.Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Hakuna kitu kama hicho tupe kifungu pls
 
Hawa ma rc na ma dc wanaiua ccm taratibu yaani wanazidi kuleta chuki ndani ya serikali watu watazidi kuichukia ccm
 
ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga
Na wewe bado ni kilaza
 
Tofautisha kutembelea miradi na kukagua miradi! Hawa walikuwa wanatembelea miradi-jambo ambalo hata wewe na familia yako mnaweza kuitembelea, sasa kwa kuwa mkuu amezuia siasa na madc wameagizwa kudhibiti upinzani, huyo DC aliona kitendo hicho kitawapa fursa Chadema ya kufanya siasa, akaamua kujitoa akili!
 
Vyeo vya wakuu wa wilaya na mikoa havina tija yoyote katika maendeleo ya Taifa letu! Vinachangia sana kutugawa sisi Watanzania, kuna wakati wakuu wa mikoa na wilaya wanakuwa wakeleketwa wa ccm kuliko hata makada wenyewe wa ccm! Kwa kukosa kazi za kufanya ndio sasa hujiingiza kwenye mambo ya ajabu ajabu na ya kushangaza!
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
 
CCM imejaa wajinga. Ni tatizo sana kuwa na viongozi ambao wana uwezo mdogo kiasi hiki...
 
ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga
Si anatoa ushauri wewe kwan lazima wabomoe?
 
Mheshimiwa kada,kumbuka unaposema jambo flani liko kwa mujibu wa sheria ukumbuke na kuitaja sheria husika. Wewe na DC wako hakuna anaetuambia ni sheria ipi imetumika, kama hamjui basi jueni kuwa mnaongea upepo na sidhani kama hata hiyo sheria mnayoisema ipo.Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Hakuna kitu kama hicho tupe kifungu pls
Narudia tena Sumaye haruhusiwi kisheria kukagua miradi yoyote ya Serikali yeye kama yeye labda kama yupo ktk msafara wa ukaguzi kwa mwaliko maalumu wenye sababu mahususi.

Na kama ilivyo kwa hata kwa Marais wastaafu hawaruhusiwi kukagua miradi yoyote yoyote ya Serikali unless wamealikwa kwa mwaliko maalumu na kwasababu mahususi.
 
Nyie hamjamuelewa huyu mleta mada, but mimi nimemuelewa ni kweli wawajibishwe...hahahah ndio madhara ya maagizo ya kukurupuka
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.

kwahiyo unaumia roho yako kumuona sumaye u tube, haya jirerkodi nawewe usambaze tukuangalie...... acha roho ya husda kaka
 
Back
Top Bottom