Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Askari wanamajukumu mengi na uelewa Wa mipaka ya kazi kwani amri inayotolewa Kwa watu walikuwa kazini unaleta usumbufu ambapo haya wangewakamata bado wangetoka na kuweza kufanya kazi isiyo na maana na wanajua amri za kukomoana haina tija,lakini angependa angeenda mwenyewe kama alivyokuwa anafanya kaka yake!
 
Kutokana na kutoka Kwa Amri halali ya Mkuu wa Wilaya sijaona Sababu za Sumaye kuwepo Uraiani na Kurekodi Video na Kuzirusha YouTube.

Napendekeza Askari wawajibishwe kwa kushindwa kumkamata Sumaye hadi sasa.
Kwa kosa lipi?
 
ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga
Waanze kukamatwa viongozi wa CCM kwanza wanaokagua miradi kwenye halmashauri. mbuzi nyie
 
Naona hata wale nguli wa Lumumba hapa JF wamempuuza huyo DC maana siwaoni hapa.
 
Siasa za chuki hazita fanikiwa na hazijawahi kufanikiwa popote pale bali huzidisha chini kati watu tuachane na siasa za kibabe hazina tija wala ustawi kwa Taifa let na ili uweze kufanikiwa katika mambo yako lazima ukubaliane na changamoto za kiushindani badala ya kutaka kuaminisha watu kuwa kila unacho kifanya ni kizuri wala hakina dosari hizo ni siasa zilizopitwa na wakati, tujirebishe.
 
Watanzania wa leo ni werevu sana sasa unap kuja na siasa zako za chuki wao wana kuhesabia mapungufu yako tuachane na siasa zilizopitwa na wakati.
 
Waanze kukamatwa viongozi wa CCM kwanza wanaokagua miradi kwenye halmashauri. mbuzi nyie
siku ukiwahuru na kutoshabikia uchama unyumbu utakuisha...kwamtu mwenyeakili na asofaidika kupitia vyama(kipato) atafahamu vyama vyooote bongo ni vya "hivihivi"...havina agenda ya maana na havijajijenga kupokea mawazo ya maana toka popote.
hapo unanilazimishia mimi kuwa ccm kwaajili za kibatabata,mimi sinachama kwakuwa sijui kushabikia ujinga!!
 
nope walikuwa WANAKAGUA SIO KUTEMBELEA...mimi binafsi nilijua ni kutembelea jambo ambalo sishida lkn habari zimesema kukagua miradi nahiyo ndoshida ilipo
Ni ubashite tu wa waandishi wa habari! Ni kutembelea...
 
ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga
Unashabikia unyoko!!
 
Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ameshangaa agizo la mkuu wa wilaya ya Ubungo la kutaka akamatwe
Ameseam serikali inataka kukatisha tamaa mipango ya Chadema lakini hawataweza, wataleta vurugu zisizo na msingi

Amedai wao walikuwa wanatembelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na madiwani wa Chadema kwa faida ya wananchi na kama CCM wanavyofanya na kuhoji hilo ni kosa kwa misingi ipi

Huyu Sumaye lazima akamatwe sheria alizitunga mwenyewe halafu hataki kuziheshimu. Weka ndani ili next time afuate sheria na taratibu zilizopo. u-ZERO huko huko
 
Back
Top Bottom