Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga

Miradi ni ya Jumuiya,na wanapoenda wapiga kura wanaangalia namna gani wanaweza kuifanya vizuri zaidi kushirikiana na wadau.

Kama hutaki wadau waje kuona miradi yao,sasa unaijenga ya nini??Tusifanye SIASA chafu,kila Mtanznaia anayohaki ya kukagua miradi.

Kuna miradi imegharamiwa na wafadhili imekuwa miradi HEWA kwanini wasiende??Hakuna sababu.
 
CCM mbele kwa mbele eeeee
a60b9be5426a22be73841fb41ca2f8b8.jpg
Naambiwa huyu ndiye aliyegharamia mabango ya ccm 2015 .
 
Maisha ya kisiasa ni ya ajabu sana,naupenda ule msemo wa kuweka akiba ya maneno.leo hiii eti hata sumae anailalamikia ccm/serikali,ameshasahau ile kauli yake ya kua ili mambo yako yawe vizuri lazima uwe chama cha makinikia.

Cdm msiwape nafasi ya kupumua lowasa na sumae,inabidi wafanye harakati za nguvu kuijenga chadema walioshiriki kuibomoa walipokua chama cha makinikiani.
 
ilipasa iwe miradi ya chama lakini miradi inayotekelezwa na serikali haipaswi "kukaguliwa" na yeyote Bali kiongozi toka serikalini!! Ivi alivyokagua angekuta Kosa na kusema labda wabomoe wangebomoa ingekuwaje?? Tusifanye siasa nyiiingi hatakama ccm hufanya siyosawa kuwaiga
Ni sawa kabisa mkuu. Hiyo sio miradi ya chama ni ya serikali inayoongozwa na ccm.
 
Hawa Wakuu wa Mikoa na Wilaya tusipowaangalia watakuja sababisha machafuko nchi hii.
 
Sumaye haruhusiwi kukagua miradi yoyote ile ndani ya Serikali kisheria.

Na Mstahiki Meya ana taratibu zake za kazi kwa mujibu wa sheria ndani ya Municipal.

Mwenye mandate kuhusu kazi za Tamisemi ni DED na Serikali Kuu ni DC.

Mambo ya Siasa nayo yanataratibu zake kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.
 
Maisha ya kisiasa ni ya ajabu sana,naupenda ule msemo wa kuweka akiba ya maneno.leo hiii eti hata sumae anailalamikia ccm/serikali,ameshasahau ile kauli yake ya kua ili mambo yako yawe vizuri lazima uwe chama cha makinikia.

Cdm msiwape nafasi ya kupumua lowasa na sumae,inabidi wafanye harakati za nguvu kuijenga chadema walioshiriki kuibomoa walipokua chama cha makinikiani.
Point nzuri,
 
Hakuna sheria yoyote inayomkataza hata mtu binafsi kwenda kuona miradi yoyote ya serikali kwani hizo ni kodi zetu.ccm wanasahau kuwa wao ni wapinzani ubungo kama walivyo kilimanjaro na sehemu zingine. Ndesa Pesa alisema vizuri hiyo.
 
Ni sheria zipi hizo kwa maana wakati wa Mkapa mimi sikumbuki upuuzi kama huu wa awamu ya.tano.
 
Back
Top Bottom