Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
unacho uliza nini wakati huko juu umesha mhukumu, kwani kuna mbunge gani wa magamba mwenye uhakika wa kurudi bungeni mwaka 2015....akina komba wanafanya nini bungeni kama siyo kulala tu<br />
<br />
Kwahiyo tatizo la Sugu litakuwa nini? Tujaribu kutoa ushauri unaojenga ili kumsaidia huyu mbunge kijana atetee kiti chake. Wasiwasi wangu sidhani kama wananchi wa Mbeya watafanya makosa kumrudisha mtu asiyejielewa mjengoni.