lebadudumizi
Senior Member
- Jun 9, 2011
- 149
- 20
Promotion za magwanda hadi kichefuchefu
Ni ujinga mtupu kumshabikia mpuuzi kama huyu. Mbeya tumekubali tuna mbunge kivuli mpaka 2015

Matatizo ya wabunge waliopata FOUR form FOUR.

Si kapata 4 form 4, unatarajia nini mkuu?
The poorest way to measure one's Competency is through written Exams.
Hivi analitendea haki jimbo lake la mbeya kwa
kuzungumza sana kuhusu wasaniii???????????
wewe unataka aitwe fyekeo?CDM wanyewe wanamuita Sugu Jembe
umeshawahi kusifia kitu chochote cha chadema?Halafu mnalalamika wabunge kupiga usingizi, hadithi ndefu iso na faida yeyote..Huyu sugu anazidi kupotea, kila akiwekewa mic basi lazima alete vita yake binafsi na clouds FM.
Nyie wanaCDM wote hapo mnao sifia hii hotuba ya sugu ni ushabiki tu. Kila hotuba ya wabunge wa CDM lazima isifiwe utasema ilikuwa ya nyerere.