Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Kwani magufuli ndiyo anajenga barabara majitu mengine hasara kweli.
Huyu huyu mpigaji na mvutaji namba one.Sugu huyu huyu baba sasha au ni mwingine.
itakua labda kamlipua kwenye verse za huipu hopu, lakini hana credentials za kuhoji utendaji wa magufuli. waliomchagua walikosa mbadala wake ila 2015 hawatakosea tena kumrudisha bungeni
sugu ametelekeza mke na mtoto
Mkuu umeua. Sentensi fupi lakini zimebeba ujumbe mzito sana! Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie!yaani hicho kipande ni majanga,kuna lami toka kigoma mjini mpaka njia panda ya uvinza nayo ni full mawimbi,Chato kwenda muleba barabara ni mitaro,singida-manyoni kimeo,singida kateshi ni janga lingine,igunga-nzega viraka kama bendera ya interahamwe
Nenda mwandiga mpaka manyovu nayo yale yale wametengeneza lami za kichina miaka 3 biashara imeisha
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.
NB: Magufuli ni vema huyu usimjibu endelea na shughuli zako, hapa Nyamirembe na Kazunguti mpaka kachwamba jimboni chato maji hayafiki kutokea ziwani tafadhali jitahidi kutatua na Mungu akubaliki sana kazi yako tunaiona na kukuombea sana Maana Magufuli vs Sugu..... ni almas vs kinyesi.
Kwani magufuli ndiyo anajenga barabara majitu mengine hasara kweli.
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Magufuli tenda wema nenda zako usingoje shukrani hawa wapinzani ni kama watoto wa kambo hawana shukrani wala ahsante wakipewa wanalalamika wakinyimwa pia wanalalamika mvua hizi za mwaka huu kuharibika miundo mbinu na akitokea mpuuzi kulalamika wala usimshangae kwa vile mwanakharamu hata umweke katika chupa lazima ataonesha kidole mie nimo humu chapa kazi baba achana na hayo MAKAWA hayana jipya!
nimetaja Mungu sio mungu, unajua tofauti ya God na god? UKAWA kuwa smart bwana hilo genge la wehu lisikuvuruge.Hii ni hasira, chuki, ama ukosefu wa misamiati? Mbona Almasi na Kinyesi ni kuvuka mipaka? Na huyo Mungu unayemtaja kwenye sentensi hiyo hiyo ni mungu gani? Mwombe radhi Sugu-kiumbe cha Mungu kama huyo Magufuli.
Na wewe Kumbe pimbi. Hivi sugu unaona kama zinamtosha? Au kakuambukiza upunguani wewe magufuli jembe hata mbinguni wanamkubali. Ili wasio na macho ya kuona chochote ni we we na sure wako.
Huyu huyu mpigaji na mvutaji namba one.
Sugu huyu huyu baba sasha au ni mwingine.