Jamani ebu tuwe tunaangalia na jicho lapili,hizo bararabara
Zitadumu vipi wakati magari ya mizigo yana overload?
Tutatafuta na mchawi bure. Barabara zote zile ambazo
Ziko busy yani ambayo inatumika kwa kiasi kikubwa ,haziwezi kudumu kamwe.pasipokuwa na
Substute kama reli.
Mfano kama barabar ya dar -moro haina muda tangia ijengwe lakini mikunyanzi
Ni mingi ambayo inaonesha kuwa imedidimia tokana na heavy weight loads Inazopita
Hapo .
SUGU hakuna anachojua zaidi ya kula kijiti na kupigana bungeni.
Hivi nyie CHADEMA barabara zenu nzuri mlizojenga ziko wapi?
Wewe lazima utakuwa genius! Ulichagua jina linalowakilisha maneno yako barabara!
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Duh kumbe Magu naye ni kimeo kiasi hiki!
![]()
mji mdogo wa Chennai India barabara ya juu inaendelea kujengwa kwa kupandisha pillars kwenye barabara ya chini na hakuna bomobomoa za magufuli. hapo kazi inaendelea
NB inatushinda nini kufanya hivyo kwenye barabara kama Ally Hasan Mwinyi, Morogoro road, Nyerere nk.
Unambie magufuli ni jembe - au kiwembe cha kunyolea mananiliu
Hvi unajitambua wewe ni nani na una nafasi gani ktk nchi hii?
Hutaki bara bara za lami?
Sugu Moto Chini... Wengi tulisha sema kuwa hakuna Mawaziri wezi kama wale Mawaziri wa Mkapa! Deni la Taifa la Trillioni 22 plus linatokana na deals za Magufuli et al! Ukitembelea jimboni kwake ndo utachoka zaidi kwani Lami iliyowekwa pale ni vichekesho, 70% ya fedha za mradi walijigawia mchana kweupee!!! Scandal za Magufuli haziishii kwenye kuliingizia taifa letu hasara kwenye barabara pekee kwani hadi leo hii Watanzania hatuelewi ilikuwa vipi wajigawie Nyumba za Serikali tena zilizoko kwenye maeneo nyeti hapa nchini! Itoshe kusema ktk mawaziri mabomu; Magufuli, Muhongo, Nyalandu, Pinda wanaongoza kwa mbali sana ...Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
Da huyu jamaa mi sijawai hata kusikia akitoa mada yake mwenyewe kutoka kichwani mwake yani yeye mbaka asike ndio anakuwa na chakuongea bungeni, embu wakati mwingine na wewe jalibu kutoa kitu chako wapiga kula wako waone kama tunamtu wenye misheni na vision punguza kelele matokeo yake kila unachoongea sasa watu wanakipuuza,acha mipasho bungeni.
Unamzungumzia Komba? Lukuvi? Maji Marefu? Chenge? Lusinde? Kopa au da Vicky na da rosemary?...funguka mkuu..Da huyu jamaa mi sijawai hata kusikia akitoa mada yake mwenyewe kutoka kichwani mwake yani yeye mbaka asike ndio anakuwa na chakuongea bungeni, embu wakati mwingine na wewe jalibu kutoa kitu chako wapiga kula wako waone kama tunamtu wenye misheni na vision punguza kelele matokeo yake kila unachoongea sasa watu wanakipuuza,acha mipasho bungeni.
Mkuu Magufuli hupewa budget kubwa sana lakini only 30% hutumika zingine hutiwa kibindoni na wajanja! Ukienda kwenye halmashauri ndo kichefuchefu zaidi manaa certificate huidhinishwa bila hata mkandarasi kupeleka hata jembe la mkono kwenye barabara husika! Tatizo letu wananchi ni kuendelea kuwashangilia viongozi vibaka ...Wakati Bilion 200+ imeliwa na wajanja pale BOT, Magufuli hana budget ya mradi muhimu kama huo
Mkuu Magufuli hupewa budget kubwa sana lakini only 30% hutumika zingine hutiwa kibindoni na wajanja! Ukienda kwenye halmashauri ndo kichefuchefu zaidi manaa certificate huidhinishwa bila hata mkandarasi kupeleka hata jembe la mkono kwenye barabara husika! Tatizo letu wananchi ni kuendelea kuwashangilia viongozi vibaka ...
Serikali ya CCM ni sawa na mkusanyiko wa MAPANYA