Kamwambia anajisifu kuwa unatoka Mtwara mpaka Bukoba kwa bajaj! Kawaambia wabunge subutu hata na GX 100 kama utafika salama bila ajali maana sasa hivi hiyo barabara ni mashimo na manundu yakutosha.
Ambao ndio ukweli. Hii tabia ya kupenda sifa anayo sana Magufuli na wapo wanaoingia mkenge
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Lahaula! Kumbe level zenu za uelewa ndizo hizi? Maana nimeyasikia haya toka kwa mbunge mmoja wa kike wa CCM.Hivi nyie CHADEMA barabara zenu nzuri mlizojenga ziko wapi?
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.
NB: Magufuli ni vema huyu usimjibu endelea na shughuli zako, hapa Nyamirembe na Kazunguti mpaka kachwamba jimboni chato maji hayafiki kutokea ziwani tafadhali jitahidi kutatua na Mungu akubaliki sana kazi yako tunaiona na kukuombea sana Maana Magufuli vs Sugu..... ni almas vs kinyesi.
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Tazama Pia barabara ya Domadoma Moro, ina miaka zaidi 27 bila matengenezo makubwa ilisimamiwa ya Isiza miaka 80
baba yako tu kuna vitu umemuomba hajakutimizia acha kupiga domo. tumia akili.Waziwazi unalalamika hamna maji na bado unamsifia. Huoni unajichanganya?
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
Hiyo barabara ya meta haijalipiwa hata senti mkandarasi alijitolea kuijenga baadae ikaj6likana kuna mkondo wa maji hivyo anasubiri mvua iishe aijenge upya.ni vyema kuwauliza wahusika badala ya kulalama
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Tazama barabara ya Singida Shelui Nzega,ovyo kabisa.Tabora waliambiwa na Magufuli kama mpaka mwezi wa 4 hawajamaliza atawatimua wachina.hakuna kitu,kuna lami km 10 tu kati ya 130 kwenda Nzega
Ivi huko ccm hamna hata kijana mmoja anaweza jibu hoja kwa umakini..?!SUGU hakuna anachojua zaidi ya kula kijiti na kupigana bungeni.
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
Ila ki ukweli wakuu, barabara za sasa hivi ni mbovu sana! Nakumbuka mwaka 1995 barabara ya Mwinyijuma aka Mwinjuma Road, iendayo Mwananyamala kupitia Komakoma ndo ilijengwa na Konoike! (japo nasikia nao wamekuwa Wasanii) Barabara imedumu muda mrefu na ilijengwa kwa kiwango kizuri.
Barabara za sas, Mungu wangu, majanga matupo, hazikai hata miaka 3 zina mashimo ya kutosha!