Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Kauli za k.i.p.u.m.b.a.v.u za mijitu mingine inayotetea utendaji mbovu wa serikali inakera kama nini!Bora mama zao wangewafanyia abortion tu wangeifanyia nchi hii msaada mkubwa!!!!
 
Kauli za k.i.p.u.m.b.a.v.u za mijitu mingine inayotetea utendaji mbovu wa serikali inakera kama nini!Bora mama zao wangewafanyia abortion tu wangeifanyia nchi hii msaada mkubwa!!!!

Mkuu umenena vyema.
 
Tazama barabara ya Singida Shelui Nzega,ovyo kabisa.Tabora waliambiwa na Magufuli kama mpaka mwezi wa 4 hawajamaliza atawatimua wachina.hakuna kitu,kuna lami km 10 tu kati ya 130 kwenda Nzega

Nilikuwa kwenye mradi wa barabara wa Laela-Sumbawanga ambao ulitakiwa uishe December 2013. Mpaka leo hata nusu ya kazi haijafanyika. Mkandarasi, Interbelton bado anaendelea kujivinjari na vibinti vya Sumbawanga. Magufuli, kimya. Baada ya kuila hela ya MCC.
 
yaani mrad hautaisha na ukimw wataueneza
 
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.
NB: Magufuli ni vema huyu usimjibu endelea na shughuli zako, hapa Nyamirembe na Kazunguti mpaka kachwamba jimboni chato maji hayafiki kutokea ziwani tafadhali jitahidi kutatua na Mungu akubaliki sana kazi yako tunaiona na kukuombea sana Maana Magufuli vs Sugu..... ni almas vs kinyesi.

Hoja ya uimara wa Makambako- Njombe-Songea ni ya kweli na ya msingi, lakini kwa mtu mwenye FIKRA HURU, anaefuata mkumbo hawezi kuliona hilo na kujiuliza!
 
kuna nyingine angeweza kuzisifia kama iyofi - Iringa - Mafinga to Mbeya hii barabara ni nzuri sana. hiyo ya Njombe to Songea haina magari mengi
 
Hakika bila ushabiki, barabara ya songea-Makambako ni tangu miaka ya 80! Lazima kuna tatizo na wataalamu na mawaziri wa sasa. Tunaomba wasikasilike. Wajiulize mapungufu yao.

Na utasikia sasa hivi tenda kapewa mchina ya kuitifua hiyo barabra.
 
Hakuna sehemu inayonikera kama kutoka chalinze kuitafuta ruvu,yaani lami inamabonde balaaaa aaagh
 
Yule msanii tu kama Sugu alivyosema, barabara ya Somanga kule Lindi km 12 hadi ataondoka madarakani haijaisha na mkandarasi kagoma kuendelea zile zilizo jengwa ni chini ya kiwango kutwa zinabomolewa na kujengwa ila hata hatumuoni akiongea.
Anasubiri madaja ya bomoke ili alete sura yake kwenye media kuwa anasimamia ujenzi hadi usiku mnafiki mkubwa sana yule.
 
Hakuna sehemu inayonikera kama kutoka chalinze kuitafuta ruvu,yaani lami inamabonde balaaaa aaagh
Watu hawaambiwi ukweli tuu, hizi ajali zilizoongezeka siku hizi majibu ni mepesi eti mwendo kasi! Hawafanyi utafiti tuu, chanzo ni hizo barabara kuwa na mawimbi kama bahari. Sasa wangapi wamepoteza maisha kwa sababu tu ya 10% na usimamizi mbovu.
Ndio maana namuunga mkono Sugu kuwa watu kama Magufulina the like ni wafungwa watarajiwa kwa kushiriki mauaji. Tuwe kama China
 
Yule msanii tu kama Sugu alivyosema, barabara ya Somanga kule Lindi km 12 hadi ataondoka madarakani haijaisha na mkandarasi kagoma kuendelea zile zilizo jengwa ni chini ya kiwango kutwa zinabomolewa na kujengwa ila hata hatumuoni akiongea.
Anasubiri madaja ya bomoke ili alete sura yake kwenye media kuwa anasimamia ujenzi hadi usiku mnafiki mkubwa sana yule.
Anahakikisha wapigapicha wa television zote wapo kisha anapanda kwenye greda kama ana endesha vile na akitoka hapo anayaongoza magari eneo la tukio kama trafiki na sie kama mazuzu tumasema jamaa mchapa kazi.
Kumbe waandishi na wapiga picha washakula mshiko wao
 
jinga hilo achana nalo, yeye mwenyewe hajitambui sembuse ndio atambuwe gharama tunazoingia kujenga barara mbovu?

hapa hatu angalii gharama za ujenzi wa barabara tunaangalia ubora wa barabara zenyewe,hiyo barabara ya kwenda mtwara imesha anza kukatika katika na haina hata miaka 10 na kwa bahati nzuri hiyo barabara tangu inaanza kujengwa magufuri ndie alikua waziri wa ujenzi.
 
Kwahiyo nyie CHADEMA hakuna chochote cha maendeleo mnachoweza kuwafanyia watanzania?

Tunalipa kodi ili tupate barabara imara na si hizi za baada ya siku kadhaa za kukabithi zinakuwa mbovu,asubuhi na bakuli kwa mfadhili au kukopa deni,hivi huo ndiyo uzalendo?

Huwa wakati mwingine sielewi kwa nini hauwezi kuweka point yenye kujenga zaidi ya hizi zinazoudhi.Kaka hata kama unafaidika japo kidogo tetea nchi yako,kuwa mzalendo,muadilifu na muwajibikaji.
 
Magufuli ni almasi! wewe ni nini? Unasifia dume hadi wewe mwenyewe unajiweka shimo la taka!

Vipi hapo Chalinze, kuna mbunge?
Vipi hapo ilala, kuna mbunge?
Vipi hapo Gairo, Kuna mbunge?
Vipi hapo Kalenga, Kuna mbunge?
Vipi hapo, nk.
Vipi hapo kwenu, kuna mbunge?

Taja unakodhani kuna mbunge wa kujisifia. Anyejua anachokifanya.

Meru mashariki kuna Jembe Nassari, tayari amerejesha shamba mbili zilizonyang'anywa wananchi miaka ya 1920. Anamwaga vifusi kujenga barabara na anaishi jimboni. Nani anaweza jipima na huyu dogo.
 
Lahaula! Kumbe level zenu za uelewa ndizo hizi? Maana nimeyasikia haya toka kwa mbunge mmoja wa kike wa CCM.
CCM wala Chadema hakuna mwenye barabara, hizo ni za Watanzania kwa kodi na madeni yao ya nje. Ila usimamiI wa ujenzi huo mbovu unasimamiwa na CCM na ndio maana Sugu kasema anachostahili Waziri Magufuli ni kwenda jela tuu kwani ni kama muuaji. Hayo mabilioni ya kufanya repair kutokana na hizo 10% zake kama yange pelekwa kununua vifaa vya mahospitini Watanzania wangapi wangeepuka kifo kutokana na ukosefu wa vifaa na dawa? MUUAJI SIO LAZIMA AUE DIRECT KWA KISU AU KUKABA hata kumsababishia mtu kifo ni uuaji vilevile

Nawafananisha na fundi mfinyanzi anayejisifu kuwa yeye yu hodari katika kufinyanga ilhali hajawawi kutengeneza chungu hata kimoja!
 
Mfano barabara ya lindi dar es salaam ina miaka mingi kipindi mm na soma sekondari mpaka leo ni chuo na hisi kuna tatizo kwa kiongoz huyu...kwani yeye nani ambayo hana mapungufu hapo mwanzo alikuwa moto lakini sasa amepoa sana.
 
Anahakikisha wapigapicha wa television zote wapo kisha anapanda kwenye greda kama ana endesha vile na akitoka hapo anayaongoza magari eneo la tukio kama trafiki na sie kama mazuzu tumasema jamaa mchapa kazi.
Kumbe waandishi na wapiga picha washakula mshiko wao

Msanii tu yule wanaomtetea wengi wanaishia Maili moja tu hapo, wazunguke tz nzima ndo wajue km magufuli ni mchapakazi au tapeli wa media.
 
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Pumb.av.u wewe!!

Hata kula ma.vi unaweza mradi mkono umeenda kinywani!!!?? She.nzy type kabisa! Barabara zinatugharimu mabilioni wewe unasema bora hizo mbovu kuliko kukosa? Unajua ni miongoni mwa trillion ambazo nchi mpaka sasa hivi inadaiwa?
 
Back
Top Bottom