Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Barabara inajengwa Mwenge-Tegeta , Foreman anakaa Mbagala nyumba ya kupanga wakati wajapan wanakaa mlimani city, mshahara wake laki 1 na nusu , nauli , kodi, afya nk , hapo anapata tamaa ya kuiba mafuta na cement aongeze kipato mwishowe barabara ikikamilika miezi sita haifiki mahandaki yanaanza kujitokeza!! Waheshimiwa hawawafikirii kabisa wafanyakazi wazawa ambao wengi wao ndio watendaji kwenye hizo kazi za mabara bara!! Wakitetewa hawa wazawa basi uchakachuaji katika kazi za ujenzi utapungua sana!!
 
magufuli jembe!!! Brother Sugu hapa kachemka!!
 
= MAGAZIJUTO=11 haya kubwa jinga una lingine wewe mwenye upeo wa kuongozwa na wachunga ng'ombe na walima mtama wa lejaleja bila elimu kichwani.

wewe fanya hii

((1+3)(2*8))/33-4+3=?
nijibu fasta

The whole idea is to force you to thinking before keying anything for JF consumption. Did you think before saying 11? Ok, now don’t just say Sugu hafai with no thinking indicators. "Don't be trapped by dogma - which is living with the results of other people's thinking" (steve Job).
 
On a serious note izi barabara hasa ambazo wanajenga wachina ata sijui kama hawa jamaa wako serious na fedha zetu kweli barabara baada ya mwezi inaumuka!
Wajenzi wote wangekuwa kama hawa waliojenga kipande ya Iyovi mpaka Mafinga hayo madeni tungekuwa twalipa kihalali
 
Ni heri nusu shari kuliko shari kamili! Kwasasa sehemu nyingi za nchi kuna barabara za lami hata kwa kuwekwa lami ya kiusanii tu inatosha! Wabunge wa CHADEMA wanaona sana mabaya ya chama tawala lakini hawaoni mazuri hata siku mmoja! Naona kwa sasa ni vizuri wakajiangalia wao kama wamejijenga au laa! hasa kwa masuala ya ofisi mikoani au kila kanda maana wanapewa ruzuku kubwa kwa wasio nacho ila ndogo kwa wenye nacho lakini hakuna hata ofisi iliyojengwa katika majimbo wanayosema nchi igawanywe ili kurahisha utawala na uchocheaji wa kiuchumi!
 
Back
Top Bottom