Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Atende wema haende zake kwani anafanya bure???????? Analipwa mshahara kwa kodi zetu we mburura
magufuli tenda wema nenda zako usingoje shukrani hawa wapinzani ni kama watoto wa kambo hawana shukrani wala ahsante wakipewa wanalalamika wakinyimwa pia wanalalamika mvua hizi za mwaka huu kuharibika miundo mbinu na akitokea mpuuzi kulalamika wala usimshangae kwa vile mwanakharamu hata umweke katika chupa lazima ataonesha kidole mie nimo humu chapa kazi baba achana na hayo makawa hayana jipya!
 
Mhashimiwa unapoteza muda na upo nje ya mada kidogo....

Cjui ni ushabiki ndio unakufanya ufumbie macho mambo muhimu kama ya barabara au na wewe ni mmoja wa wakandarasi wa kujenga hizo barabara, ni kweli barabara zinajengwa ila ni kwa kiasi kipi???
Aliyosema sugu yana msingi sana, safiri kwenda nyanda za juu kusini uone kuanzia morogoro utajua kama kodi yako inatendewa haki au la, pita barabara ya makambako songea utafahamu nini maana ya ukandarasi. Sio ubabaishaji unaofanywa na wakandarasi, angalia madaraja yanapukutika kila kukicha sio dar pekee wanapoishi waheshimiwa bali hata mikoani yaani ni aibu tupu.
Tuache ushabiki wakishamba...
.....ya kukariri kilomita za barabara na vipimo vyake sio ishu tena kama ndivyo vinavyo kuhamasisha utetee ujinga na uhafibufu basi haya...

Yaani unalinganisha Dar-Iyovi 1971 na Makambako-Songea 1983
 
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu

Hili nalo neno.
 
Barabara ya Singida Minjingu haina miaka miwili ina cracks nyingi sana.Wamesha anza kufanya ukarabati wa kuziba hizo cracks.
 
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?

Stupid Ideology!!!!! hizi ndio akili zetu watanzania kweli???!!! hivi tumelogwa au tuna laana???!!! ndio maana wakenya wanatushangaa sana watanzania na hata waliwahi kusema kutawala Tanzania ni rahisi kuliko kutawala ng`ombe!!!! hapa ndio Napata picha sasa kutokana na mawazo mgando tulionayo watanzania kama huyu aliyetoa mchango huo hapo juu wa hovyo kabisa ambao sijawahi pata kuusikia popote!!!!!!!
 
sugu kasema ukweli huko chato tenda magufuli aliipa kax kampun yake yan ni majanga miez sta lami yote imegeuka vumbi...magufuli blahblah nyingi cz anajua alishawadanganya watz
 
sugu kasema ukweli huko chato tenda magufuli aliipa kax kampun yake yan ni majanga miez sta lami yote imegeuka vumbi...magufuli blahblah nyingi cz anajua alishawadanganya watz wakashawshka...kila mmoja mpga dili sjui viongoz mpaka washushwe toka mbingun cz hakuna aliye na unafuu
 
sugu kasema ukweli huko chato tenda magufuli aliipa kaz kampun yake yan ni majanga miez sta lami yote imegeuka vumbi...magufuli blahblah nyingi cz anajua alishawadanganya watz wakashawshka...kila mmoja mpga dili sjui viongoz mpaka washushwe toka mbingun cz hakuna aliye na unafuu
 
Sugu uwezo wake wa akili ni mdogo sana, ndio maana anakosa heshima kwa wanaomzidi umri. Pia ile kitu anayovuta inampeleka kasi sana.

Ili uweze kutoa maoni yenye maana, hebu jisahaulishe kwa dakika chache kuwa Sugu ndiye aliyesema barabara zinazojengwa na Magufuli ni mbovu na zinaharibika mapema. Kwa kufanya hivyo, utaacha kumshambulia mtoa hoja na kujadili hoja. Naomba nikuulize maswali yafutayo ili kukurudisha kwenye mjadala. Je, wewe ni Mtanzania? Kama wewe ni Mtanzania, unafahamu kwamba una wajibu wa kulipa mikopo inayotumika kujenga barabara hizi bila kujali itikadi yako ya kisiasa? Je, unaathirika kwa namna yeyote ile na uwepo barabara mbovu nchini? Je, unakubaliana na hoja kwamba barabara nyingi kama si zote zinazojengwa hazikidhi mahitaji na zinaharibika ndani ya kipindi kifupi baada ya ujenzi kukamilika (nyingi hazidumu zaidi ya masika mbili)? Je, unadhani tutapata maendeleo tunayoyahitaji kama tutaendelea na uwekezaji wa aina hii in which roads are being washed out soon after construction? Is this what public investment means to you (simply because you are supporting the ruling party)? Je, unakubalina na mimi kuwa nchi yetu inapata hasara kubwa kwa kuwa na viongozi their idea of quality is flawed na ambao wanadanganyika kirahisi (e.g. angalia majengo ya Chuo Kikuu Dodoma)?
 
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?

He! Yaani wewe unamtuma mwanao aende sokoni kununua samaki anapewa waliooza akikuletea badala ya kucharuka wewe unasema asante mwanangu angalau umepata waliooza!!!!!!. Ewe Mungu baba tunusuru na aina hii ya Watanzania.
 
barabara iliyojengwa na wamarekani, dar - tunduma miaka ya 1966, wakipinga ujenzi wa reli ya TAZARA eti inaenda kuwapa ma guerrilla fighters (kwetu ni freedom fighters) silaha, sehemu kubwa ya rami ile ipo imara. traffic ya maroli kwenda kusini na Congo hata Angola inapita pale na hata mvua katika kanda hiyo ziko juu.

ni ukweli hizi barabara za magufuli ambazo ni "ramifasta" zinakingiwa kifua na ufokaji wa waziri huyo - ni ufokaji ambao unajaribu kuficha madhambi - utakatifu pale una approach zero.

Sugu yu sahihi na waziri mku ameshindwa kujibu zaidi ya kuwaomba wa Tz wawaonee huruma. Anasema juhudi zote hizi - juhudi bila maarifa ni sawa na bure. ni sawa na kutumbukiza hela baharini ili zidakwe na mapapa na nyangumi.
 
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.
NB: Magufuli ni vema huyu usimjibu endelea na shughuli zako, hapa Nyamirembe na Kazunguti mpaka kachwamba jimboni chato maji hayafiki kutokea ziwani tafadhali jitahidi kutatua na Mungu akubaliki sana kazi yako tunaiona na kukuombea sana Maana Magufuli vs Sugu..... ni almas vs kinyesi.

Ndugu Mbeya tunajitambua sana, tuna kila kitu cha kwetu. Rais tunaye wakwetu ndo Sugu, timu tunayo MCC, rahisi wenu akija tunampopoa. Mambo mengine ni kuwa kinyesi anaweza kuwa ni mama yako.
 
Back
Top Bottom