Sugu aitakatisha Mbeya

Sugu aitakatisha Mbeya

Serikali huwa inapeleka hela za miradi ya maendeleo kila jimbo na na ni kwa kila mwaka.tatizo ni kuwa wabunge wengi wa ccm hawana huruma na fedha hizo,huzifanyia ufisadi wa kutisha na hivyo kusababisha majimbo mengi yanayoongozwa na wabunge wa ccm kudorora kimaendeleo.
 
kama wana Mbeya mkimuongeza sugu miaka mingine mitano tu , basi kutakuwa na uwezekano wa mbeya kuikaribia New york , asanteni cdm
 
Aaaah?

una kirara eeeh?
mpatie kama niaje niaje karoho kako kama kamemdondokea.
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,Mhe. Joseph MBILINYI amefanya kazi kubwa sana ndani na nje ya bunge,
 
Last edited by a moderator:
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

Nakushangaa judi wa kikuda, sory wa kishua, unashindwa kutambua kuwa wabunge wetu wanalipwa vizuri, na kama si ufisadi na kuendekeza "mabomozi" wabunge wengi wangekuwa na mahekalu kama unayoyashangaa ya mr Sugu! Tunachokiona kwa baadhi ya wabunge wetu wanashindana kuvua zip na fumanizi za kijingajinga! Tuseme? Hureeee Sugu! Shusha mabarabara, shusha na kajimjengo ka kijanja wabaki wanashangaa!
 
acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Mbeya hipi hiyo au kuna Mbeya nyingine Tanzania hii hii tofauti na ile ya nyanda za juu kusini. Sugu bado anakubalika na kwa taarifa yako Mbeya sasa wanataka CDM tu haijalishi amesimama nani CDM itashinda tu
 
mkuu acha kupotosha watu, sugu atapata wapi hela ya kutengenezea lami.. huo ni msaada kutoka world bank.
pia kubadilika kwa mbeya kumechangia kwa ongezeko la wawekezaji na sio sugu.
Mkuu usijisumbue na hao foul smoke billowing F4-Failures.
 
Soko marola ndiyo soko gani we upo mbeya kweli kwenda zako,
kumbe sugu sigu hizi anajenga barabara,
sugu aache kupigana ajenge barabara we hewa kweli.

Kweli magamba mume vurugwa hapo umekosoa typing error ya soko marola na wewe nataka kukuuliza unamaana gani unapo sema sigu hizi? Mimimi najua unapigania buku 7 ila unatakiwa kuwa makini unapo kosoa na wewe usikosee.
 
Mkuu nikikuwekea matokeo yangu kwanzia lasaba, form4 na 6 hadi chuo na kazi ni nayofanya utajihisi kinyesi mbele yangu cha maana ni tudiscus maendeleo anayoyaleta sugu apa mbeya
Mkuu usijisumbue na hao foul smoke billowing F4-Failures.
 
Mkuu nikikuwekea matokeo yangu kwanzia lasaba, form4 na 6 hadi chuo na kazi ni nayofanya utajihisi kinyesi mbele yangu cha maana ni tudiscus maendeleo anayoyaleta sugu apa mbeya

Huna haja ya kutuonyesha vyeti nenda kwa Sugu akakupe kazi.
Kwa ugoro uliobandika, hivyo vyeti vitakufaa ukorokoroni tu.
 
mkuu acha kupotosha watu, sugu atapata wapi hela ya kutengenezea lami.. huo ni msaada kutoka world bank.
pia kubadilika kwa mbeya kumechangia kwa ongezeko la wawekezaji na sio sugu.

Hayo mabadiliko na hiyo misaada ya World Bank vilikuwa vinamsubiri Sugu awe mbunge ndiyo vifanyike? Akiwa chama cha upinzani? Ok, kumbe mbunge anastahili pongezi za dhati. Wananchi tunaona tofauti ya majimbo yaliyo upinzani na yale ya ccm, wala si suala la mtu kujilazimisha kuelezea wakati pengine hata mtu hajafika hata mara moja.
 
Mbeya ni nchi na Sugu ndiye Raisi wake! Maccm yamevimba hadi yanakaribia kupasuka kwakuwa jimbo la Mbeya Mjini limepata maendeleo makubwa sana kwa kipindi kifupi cha chini ya miaka mitatu ya kuongozwa na mbunge wa Chadema.

Jimbo hilo limekuwa likiongozwa na wabunge wa ccm tangia nchi ipate uhuru hadi 2010 ukiondoa miaka mitano kuanzia 1995-2000 lilipowahi kuongozwa na mbunge wa chama cha NCCR mageuzi.

Huu wivu na gubu linaloonyeshwa na misukule ya lumumba ni ujumbe tosha kuwa ccm haitaki kuona wananchi wakipata maendeleo. Nina uhakika kama jimbo hili lingekuwa na mbunge wa ccm hakuna kitu kingekuwa kimefanyika kwakuwa mbunge angekaa na mkurugenzi na kugawana mafungu yanayotengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya wananchi.

Shame on you misukule ya lumumba project fame a.k.a buku saba fc!
 
Ok mngemshauri aende kidogo shule haya mengine ya ustaarabu angeepuka nayo mbunge gani kama chokoraa tu wa kule street au kwa kuwa ni mbunge wa wahuni tuchukulie poa tu.

We kwa hizi akili zako sio bure utakua imezaliwa na changudoa tu.
 
Back
Top Bottom