Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.
Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.
Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.
Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya