Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 258
Magamba watavamia hapa sasa hivi!
Kwetu Ileje watu kama nyie huitwa mbumbulisye!!!! mkapele myange ni mitu yinyu iya nanghishi
Magamba watavamia hapa sasa hivi!
uliwahi kusikia mchango wake bungeni akidai barabara or huwa anabezi kwenye yoyoyo? 2015 atamwachia jimbo Afande Sele.
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Ha ha ha!
eti buku saba fc,
jenga hoja,si kila mtu ni muumini wa chadema vs ccm politics
tunajua mavi yamekubana uwe unakumbuka ku edit basi hebu rudia kusoma ulicho andika wewe paka.Soko marola ndiyo soko gani we upo mbeya kweli kwenda zako,
kumbe sugu sigu hizi anajenga barabara,
sugu aache kupigana ajenge barabara we hewa kweli.
teh teh teh teh teh kweli wewe ni kiazi kweli kweli. Sugu yupi? au huyu huyu bongoflavery? kilaza? or kiplati? he he utavunja mbavu watu acha utani.
ungekuwa wastegate siku ya tukio, sidhani kama una umuhimu sana kwa taifa letu!Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
lakini tusishangae kauli za vijana wa Bavicha ivisasa wanamwandaa lady Jdee kugombea Musoma vijijini na Rc kugombea ilala. kweli chadema kama bongo flaver
Ni furaha kusikia kitu km hicho na ninaona wivu sn kwan mimi mbunge wetu alituambia mtake msitake nitashinda na kweli akashinda.Ongera zenu mliochagua sugu,Sie tulimchagua f mpendazoe akashinda wa ccm
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari
Ndio tatizo lenu magamba nyie mshazoea wizi,nenda mbulu kule jimbo lilikuwa la mh Philip Marmo amekuwa mbunge miaka zaidi ya 20 hakuna alichokifanya ameingia AKUNAY watu wameona mabadiliko,sasa wewe unaambiwa mbeya kuna mabadiliko utaki kukubali,dar wabunge karibia wote wa CCM ilala,kinondoni sasa huo uchafu ni aibu,MNYIKA ubungo ameekuta kuna tatizo la maji angalau sasa watu mabomba yanatoa maji bado MACCM mna ponda nyie hamjawai ona jema la CHADEMA ni kejeli kama baba yenu JK nimeaambiwa,nimeetaarifiwa nimeletewa tembea uone acha uvivu kama wa JK yeye ana uwezo wa kufuatilia kesi za madaw ya kulevya za mwanae RITZ1
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Ok mngemshauri aende kidogo shule haya mengine ya ustaarabu angeepuka nayo mbunge gani kama chokoraa tu wa kule street au kwa kuwa ni mbunge wa wahuni tuchukulie poa tu.
Ok mngemshauri aende kidogo shule haya mengine ya ustaarabu angeepuka nayo mbunge gani kama chokoraa tu wa kule street au kwa kuwa ni mbunge wa wahuni tuchukulie poa tu.