Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Tafuta hansard ya bunge ucheki speech zake tangu awe mbunge. Kubwabwaja kwake ndiko kulikofanya mradi wa WB upelekwe mbeya. Miaka yote mbeya imekuwa mkoa wa pili/tatu kwenye makusanyo ya kodi lakini barabara za lami zikawa uhindini tu! Sasa hivi mbeya hata ambulance zipo kibao baada ya sugu kupigia kelele, wananchi hawapati tena shida wakipata referal kwenda hospitali nyingine kama zamani. Serikali hii bila kuipigia kelele haiwezi kufanya chochote
Mwambie na huyo jamaa yako kama anajua maendeleo maana yake basi aondoe machinga pale Mwanjelwa.Maendeleo anayoyaleta sugu yatakuumiza sn kijana pole sn mchumia tumbo
...kubwabwaja kwa Sugu ndio kumepeleka mradi ule?kwa taarifa tu mradi ule ulisainiwa kabla ya uchaguzi wa 2010,Sugu imetokea tu amekuwepo eneo hili kwa wakati wa utekelezaji wa mradi huu,hana mchango wowote kwenye hili...
kwa hiyo kwa akili yako kunyanyasa wamachinga ndio maendeleo? au unamaanisha nini?Mwambie na huyo jamaa yako kama anajua maendeleo maana yake basi aondoe machinga pale Mwanjelwa.
Mnajisifua wala hajui nata vigezo vya maendeleo, barabara ya kitaifa imegeuzwa kuwa a side street, na nyie mnachekekea na kujigamba humu jamvini kama mazuzu.
Ulitaka apore bia? Unajua nimekusamehe tuu ningekupa kitu inayostahili ban....
Mwambie na huyo jamaa yako kama anajua maendeleo maana yake basi aondoe machinga pale Mwanjelwa.
Mnajisifua wala hajui nata vigezo vya maendeleo, barabara ya kitaifa imegeuzwa kuwa a side street, na nyie mnachekekea na kujigamba humu jamvini kama mazuzu.
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Na ndio maana nastaajabu watu kujisifia wakati mambo hawayawezi.kwa hiyo kwa akili yako kunyanyasa wamachinga ndio maendeleo? au unamaanisha nini?
Mkuu mimi ni mdau mkubwa ws maendeleo ya Mbeya na nawekeza.Mbona huweki barabara inayo anzia njia panda Oilcom Mabatini,inaenda unga na Ile itokayo Majengo mpaka machinjio ya zamani Kata ya Itiji?
Vipi na hizi mpya zinazojengwa kata ya maendeleo (barabara ya tatu)?
Umefika kata ya Majengo?
Ghana je? masopakyindi kwa lugha yetu tafsiri yake ni ulafi...sasa wewe ni mlafibwa UONGO?
Maana hiyo barabara ipo kwenye ujenzi ila kila post inayohusu Mby lazima uibandike......
Mleta Mada..
Sugu katoa shilllingi ngapi kufanikisha Hayo uliyoyataja ?
Mkuu mimi ni mdau mkubwa ws maendeleo ya Mbeya na nawekeza.
Nakereka sana watu wamelala halafu mtu anakuja kujisifu kama hana akili nzuri.
Hizo barabara watu wanabweteka nazo ,jiji kama Mwanza zimejengwa kitambo.
Lazima tuwe na wivu wa maendeleo na mimi nakandya kwa makusudi ili mtu ajione adadaiwa maendeleo na si kubweteka.
Halafu wewe mwenyewe mkuu kama unaishi nyumba ya tope nitakucheka hadi basi, iga kizuri.
Jina langu, masopakyindi, lisikupe shida, kuna kina Mwambulukutu, Mwampulo, Mwamaso, Mwakyeni na yule ndugu yangu Sikafunje!
Mtoto umetoka kijijini juzi, lami yako ya kwanza unashabikia ka mwehu!Kumbe unakili kua jiji la mwanza limejengwa kitambo na sasa jiji la mbeya lina jengwa chini ya sugu asante sana kwa kukubali yani sugu kwa sababu kapitishwa kua mbunge wa kudumu li atuletee maendeleo zaidi ya mwanzai ba
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Mbona hujajibu hoja? barabara hakumna ama umekosea jukwaa eh?acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
lami zilikuwa shda ln mbeya mjini?
...Huu ni mradi wa World Bank wa kuendeleza miji nchini, Tanzania Strategic Cities Project(TSCP), na sio porojo, mradi huu umeanza kutekelezwa kabla Sugu hajaingia kwenye siasa, na utekelezaji wake haujasaidiwa wala kuathiriwa na uwepo wa Sugu, na hii miradi inatekelezwa katika miji mbalimbali, sio Mbeya tu....Refer kwa uchache, 1. Mradi wa TSCP-Mbeya(https://www.devex.com/en/projects/t...ructure-development-in-mbeya-city-under-the-t), 2. Mradi wa TSCP-Tanga (https://www.devex.com/en/projects/t...ture-development-in-tanga-city-under-the-tscp, 3. Mradi wa TSCP-Mtwara (https://www.devex.com/en/projects/t...velopment-in-mtwara-municipality-under-the-ts), 4. Mradi wa TSCP-Dodoma (https://www.devex.com/en/projects/t...velopment-for-dodoma-mc-in-dodoma-municipalit)kwa akili yako ulitaka tuseme ni mchango wa nani umepekea katka utekelezaji wa ule mradi? Miradi mingapi imesainiwa mpaka leo ipo kwenye mafile? Umefika mbeya lkn au unatoa povu bila ushahidi wowote! Pole sana gamba!