Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 258
Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.
Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.
Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.
Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya
kwa tulipofikia kumezeshana sumu sioni nani atakayemtetea myonge!! leo hii nilimpeleka mwanangu hospital ya jiji kiwanjampaka (sokomatola) niliyoyakuta huko nililazimika kuwauliza wafanyakazi kama ifuatavyo; mpo wangaji majibu yakawa 69 reception iko wapi? ipo hapa nje tulipo si unamuona yule mhudumu na meza yake pale!!!, kwa nini nje? hakuna vyumba? kwani wizara ya afya imeleta waganga wa kutosha (AMO karibu kumi) nao vyumba hakuna na hata kule tunakopimia haja nzito kunavuja. pia nilipata bahati ya kumuuliza mfamasia wa jiji kujua idadi ya wagonjwa kwa siku akasema wanaokuja kwa ushauri nasaha kwa siku ni zaidi ya 100, uzazi wa mpango zaidi ya 100 wagonjwa pia ni vivyo hivyo. kesha nitaleta kwenu picha ya majengo muweze kuona uongo unaoendele mbeya kutoka kwa wapuuzi waliolewa itikadi isiyo na tija kwa wanambeya