Sugu aitakatisha Mbeya

Sugu aitakatisha Mbeya

Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.

Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.

Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.

Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya

Kwa hali ilivyo hasa kwa vijana nani wa kuwa tena na mpango na magamba?
 
barabara ni mpango wa uboreshaji wa majiji,nenda arusha,tanga,dar na mwanza uone.tena huo ni mpango wa world bank chini ya usimamizi wa serikali iliyopo madarakani huyo sugu aliongea kip bungen kwa maendeleo ya jimbo lake zaidi ya kushabikia maugomvi? Zindukeni wana mbeya msiwe kama bendera fuata upepo.msikurupuke bali fuatilieni mambo kwa kina.hongera sana kwa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji bwana idd alijitahidi sana kufanya yaliyomhusu.
...Si unajua vijana wetu sikuhizi wana akili za Bangi, hawawezi ata kufuatilia mambo madogo kama haya. Huyo Sugu mwenyewe ata kwenye vikao vya Halmashauri yake ni mzigo tu,hakuna brain pale, na hana uwezo wa kujenga hoja za maana zikaeleweka na kutekelezwa. Otherwise pamoja na visa vyote alivyofanyiwa bado namheshimu sana Bwana Idd, ni miongoni mwa viongozi makini sana, alipaswa aendelee kuwepo pale...
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

Unajua huo mfuko wa jimbo huwa ni kiasi gani mpaka uamini kuwa mabadiliko aliyonayo yanatokana na kujineemesha na mfuko huo?
 
Unafiki tuu mtu kalipwa vijisenti aje kufanya kampen hapa. Watanzania tuna akil zetu subir 2015 mwenye hoja ndo anaeshinda.
 
...si unajua vijana wetu sikuhizi wana akili za bangi, hawawezi ata kufuatilia mambo madogo kama haya. Huyo sugu mwenyewe ata kwenye vikao vya halmashauri yake ni mzigo tu,hakuna brain pale, na hana uwezo wa kujenga hoja za maana zikaeleweka na kutekelezwa. Otherwise pamoja na visa vyote alivyofanyiwa bado namheshimu sana bwana idd, ni miongoni mwa viongozi makini sana, alipaswa aendelee kuwepo pale...

hakika mkuu.elimu ya uraia ni tatizo kwa wanambeya.binafsi namuelewa idd
 
Unafiki tuu mtu kalipwa vijisenti aje kufanya kampen hapa. Watanzania tuna akil zetu subir 2015 mwenye hoja ndo anaeshinda.

MKUU,wewe ni mmoja kati ya wat ninaoanza kuwaelewa,ukwel ni kwamba sera zenye urahisi wa matekelezo na mikakati ya utekelezaji wenyewe ndo utakaowafanya wapga kura waamue nan ni nani na sio siasa chafu za kwenye majukwaa ya mitandao hapa.tubadilike kwa kuanza na sisi wenyewe.
 
Kwenda zako huko!!Unaongea nini wewe?Tuulize sisi tulioko Mby ndo tutakuambia ni jinsi gani mbunge wetu anavyokubalika na ni jinsi gani alivyo mstari wa mbele ktk kuleta maendeleo ktk jiji letu la Mby.Mliongea hivyo hivyo kipindi cha chaguzi za madiwani kule Arusha na Mbeya,lakini majibu mlikuja kuyapata na mkaufyata.2015 hamna chenu na si ktk udiwani na ubunge tu hadi Urais.Shame on you!
 
...ukitoa mradi huu wa barabara za TSCP ambao ulianza kutekelezwa kabla Sugu hajaingia kwenye siasa,ebu nitajie hayo maendeleo yaliyoletwa na Sugu?...
 
Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.

Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.

Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.

Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya

Acha kampeni zisizo na akili na tafakuli ya maana. Barabara za Mbeya mjini zimekuwa na lami siku nyingi sana kabla hata sugu hajabalehe. Barabarani zinazopita Makunguru kutokea Sinde na ile ya Mwanjelwa-Magege-Sabatho ambazo ni mpya zilikuwepo kabla Sugu hatumjui. Pia tusahau Mbeya kuna Team ingine inaitwa Prisons na zingine nyingi sana katika madaraja mbali mbali ambazo ni za Mbeya City.

Ningemkubali na kumwona wa maana iwapo angeshiriki au kuwezesha kwa kutumia Ubunge wake kurekebisha barabra ya Meta Maternity Hospital kupitia mabatini kutokea stand.

Zaidi ya hayo, Wanambeya mtambue kuwa Mbeya kama mkoa ni wa pili katika kutoa makusanyo makubwa ya kodi kila mwezi baada ya Dar es Salaam. Mkoa una vyanzo vingi sana vya mapato na wafanyakazi pamoja wafanyabiashara kila kona ambao ni committed sana sana. Bila kusahau wakulima wenye kutumia mbinu za kisasa kabisa za ukulima wa mazao mengi ya kibiashara. Hii inaifanya iwe na economic base kubwa (strong) sana na sababu kuu ya kuanzisha mjadala wa kuugawanya mkoa katika sehemu mbili.

Hapa JF tujitahidi tusiropoke ropoke bila data. Tunaonekana wa Mbeya wote wajinga na mbumbumbu kama mtoa mada
 
Ndio nimetoka kijiji bushi, je nayo mbeya ni mjini,. Acha kuchekesha watu we mwehu mlamba viatu vya watu,. Ko mbeya nawe ndo umeona mjini eee ushamba kazi kweli
Mtoto umetoka kijijini juzi, lami yako ya kwanza unashabikia ka mwehu!
Wala hujui miaka ya nyuma kuwa Mbeya ilikuwaje ikilinganishwa na mikoa mingine.
Ukisha staarabika pengine, just pengine ndo utaelewa kuwa biashara haifanyiwi kwenye lami, kama machinga mnaowatetea.
Mnaleta za kuleta baada ya kutoka vijijini , mnashabikia tabia za kuuza bidhaa kando kando ya barabara, tembeeni muone.
 
Povu lote hilo shida nini??
barabara ni mpango wa uboreshaji wa majiji,nenda arusha,tanga,dar na mwanza uone.tena huo ni mpango wa world bank chini ya usimamizi wa serikali iliyopo madarakani huyo sugu aliongea kip bungen kwa maendeleo ya jimbo lake zaidi ya kushabikia maugomvi? Zindukeni wana mbeya msiwe kama bendera fuata upepo.msikurupuke bali fuatilieni mambo kwa kina.hongera sana kwa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji bwana idd alijitahidi sana kufanya yaliyomhusu.
 
Sugu aitakatisha mbeya hicho kichwa magamba kinawachoma sana
...Si unajua vijana wetu sikuhizi wana akili za Bangi, hawawezi ata kufuatilia mambo madogo kama haya. Huyo Sugu mwenyewe ata kwenye vikao vya Halmashauri yake ni mzigo tu,hakuna brain pale, na hana uwezo wa kujenga hoja za maana zikaeleweka na kutekelezwa. Otherwise pamoja na visa vyote alivyofanyiwa bado namheshimu sana Bwana Idd, ni miongoni mwa viongozi makini sana, alipaswa aendelee kuwepo pale...
 
Sugu aitakatisha mbeya hicho kichwa magamba kinawachoma sana
...Sugu kaitakatisha Mbeya vip?toa data zinazosupport argument yako, nitashangaa sana kama hujui hili na eti umefika form 4?toa data,simple...
 
Pole mzee punguza kutumika unazani wite wa kutumika kama wewe
...sio "unazani" ni "unadhani", hiyo "wite" sijui ni lugha gani...

Ndio nimetoka kijiji bushi, je nayo mbeya ni mjini,. Acha kuchekesha watu we mwehu mlamba viatu vya watu,. Ko mbeya nawe ndo umeona mjini eee ushamba kazi kweli
...ukianza na kiulizi cha "je" unapaswa umalizie kwa kwa alama ya "?"...hiyo Ko ni kidhibitisho cha "vijana wa Mulugo", umeshaanza kuitukana Mbeya tena?...

We ni kinyesi nimekwambia a.k.a chakula cha nzi huna hadhi ya kubishana na mimi mtegemea ajira ww
...utumiaji wa maneno "kinyesi aka chakula cha nzi" ni dalili za ukosefu wa akili kichwani, sitashangaa kama wewe ni Sugu mwenyewe akijitekenyatekenya....
Ameyabana mapanya maccm ndo lami zikajengwa, leta swali lingine,. Kifupi sugu mwamasishaji wa maendeleo
...sio "mwamasishaji" ni "mhamasishaji", kila baada ya neno unaweka Sugu, ni dalili hii, isijekuwa ni Sugu mwenyewe...
Leta hoja ww shakwambia peleka maujinga yako mbali kule, apa mbeya ni maendeleo tu
... sio "apa" ni "hapa"...
Mkuu apa mbeya wanajuta kua walikua wapi sku zote kuchagua mbunge makini kama sugu
...yaleyale, sio "apa" ni "hapa"...

...."ndomyana" na "sugu" kama sio "mwili na roho moja" basi wana "mahaba" ya dhati, bila shaka yupo kwenye picha hii....
 
Back
Top Bottom