Sugu aitakatisha Mbeya

Sugu aitakatisha Mbeya

ndio hapo utaona ujinga watz. hizo ni programu za serikali kuboresha barabara kuu na za miji. kuna siku watsema mchungaji wa Iringa ndio kajenga Dodoma hadi Iringa. hao jamaa hamna kitu ni robbots

Kumbe mnajua shuguli za maendeleo haziletwi na Wabunge bali Serikali ila tu mnajitoaga ufahamu.
 
acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Huku ndo kwetu. Tummenye uswe Sugu ataendelea kuwa mbunge. Ndo maana hoja ya kutugawa eti Mbeya iwe na mikoa miwili tumeikataa. Hizo pesa za kuwaajiri watu waliokosa ubunge alafu analetwa Mbeya atasaidia nini?
 
Back
Top Bottom