Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa

Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua madaraka yaliyomruhusu kutawala kwa amri ya kiutendaji.

Ghannouchi ni miongoni mwa zaidi ya wapinzani 20 wa kisiasa wa Saied, wakiwemo mawaziri wa zamani na wafanyabiashara waliokamatwa tangu Februari.

Marekani imesema kukamatwa kwa watu hao kunaashiria “Hali inayozidi kuwa mbaya ya vitisho vinavyofanywa na Serikali ya Tunisia dhidi ya wanaodhaniwa kuwa wapinzani.”
 
Back
Top Bottom