BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 918
ya bunge hapa ya Wazungu labda mzee wa tezi dume anaweza kuwasikiliza
Ni uongo kama kawaida yenu Ingia kwenye website ya mcc.gov utapata ukweli na sio kupotosha uma hapa ukidhani wote ni wajinga .
Hapo na wewe umezidisha.Atakwenda wapi Tenzi dume likirudi?wanatakiwa wapigwe stop hata kwenda huko marekani na huku tuwapige mawe maana wezi kichapo chao siku zote ni mawe tu !!
Mkuu I am truly amazed by your lack of intuition.'Great Thinkers' wa JF mnapenda kukurupuka sana na kuropoka bila ya kuwa na facts. Waziri Saada Mkuya alisema ukweli, labda aliyedanganya Bunge ni Kafulila. Kafulila alisema kuwa MCC wamezuia msaada kwa Tanzania kwa sababu ya IPTL. Saada Mkuya alikanusha na kusema kuwa MCC watakaa Desemba kufanya maamuzi.
Sasa leo MCC wametoa taarifa kuwa wameikubalia Tanzania ipeleke maombi ya msaada wa MCC II baada ya kukamilisha MCC I ya $700m, lakini maamuzi ya kutolewa kwa msaada wa MCC II yatategemea na hatua za serikali za kuhusu ufisadi wa IPTL na kuboresha mazingira ya biashara.
Ukweli ni kuwa Kafulila naye alichemsha aliposema MCC imezuiwa, ukweli umesemwa leo na MCC wenyewe kuwa watatoa MCC lakini kwa masharti. Kwani kuna msaada gani unatolewa bila masharti?
Hii ameiona FaizaFoxy ?
Mkuu I am truly amazed by your lack of intuition.
Hivi , huyo Saada alishindwa hata kuliona wingu la bomu alilonalo sasa hivi?
Kama kweli alikuwa hajui basi hafai hata kuwa mlinzi wa pale Hazina.
Kama wanasiasa wachanga kama Kafulila walikwisha tonywa ju ya nia ya MCC kuzuia msaada wao, basi ujue hilo halikuja kwa usiku mmoja, kwani MCC hawana wawakilishi wao hapa nchini?
Recommendations za wawakilishi wao nchini ndixo ximeongelewa huko Washington, pale Virginia.
Watanzania lazima tujifunze kukubali makosa na kuyarekebisha-si kuchimbia vichwa mchangani, and wishing the problems will go away.
Hawezi kufanya maamuzi kwa shinikizo la Marekani,
kamechungulia huu uzi kakasepa, hana ubavu wa kugusa huu uzi, nimoja ya makabwela ya ccm
Muhongo na mkuya walilidanganya bunge na hii ndiyo recent statement ya marekani kuhusu escrow
Naona hii kampuni iko likizo: Assardsyria, FaizaFox, Lizaboni, Ng'wamapalala, Ritz etc. Au mnakula tuition ili mkabiliane nalo vipi. Hawa sio PAC mliosema vichwa vyao vimejaa maji sio ubongo. Lazima wateja wenu watazitema tu hizi ni za moto
Wakuu hao jamaa wala si wana CCM, ni watu waliolipwa kuwatetea wezi wa mali za umma zilizoibiwa.I do wonder, some few people here defend BIG THIEVES...
ESCROW IS A GRAND CORRUPTION....!!!!
Tibaijuka, Werema, Muhongo, Maswi, Judges ( 2 ), ingekuwa nchi kama CHINA au North Korea saa hizi WASHAUAWA HARAKA SANA....
Huyu Mama Jizi Tibaijuka, huyu...still anajitetea kutumia mbinu mbalimbali, wala hashtuki, mwizi mkubwa...mchafu sana kwa rushwa huyu mama...kameiba ardhi sana Wizara ya ardhi...
Huyu angenyongwa kabisa, na kuchomwa moto...manyoko kabisa..!!
Masikini Tanzania as poor as we are, as beggars as we are, we can not be choosers!, tunasubiri kupangiwa!, hizi kelele za kulalamikia rushwa huku we don't do anything, hazitusaidii kabisa!, IPTL ni rushwa mwanzo mwisho!, Escrow sio rushwa bali ni utapeli tuu, sasa MCC wanasubiria utekelezaji wa maazimio ya Bunge!. Yaani kufuatia umasikini wetu, rais wetu sasa analazimishwa lazima afanye kitu ndipo MCC ipite!. Kiukweli mimi sijaipenda kabisa release hii, na hata kama JK alipanga to do something, he should have done before, lakini akifanya sasa itaonekana ni to bow down to pressure za mabeberu hawa na wakoloni mamboleo simply because we have to beg!.